Mbunge wa Momba, David Silinde rasmi ahamia CCM

Hakuna anaetishwa watu wanaangalia upepo wa mbele...hakuna mbunge asiependa kuendelea kuwa mbunge.
Yes pia Hakuna biashara inayolipa Kama ubunge, Ingekuwa ni ya wito wasingefanya
 
Kwani JPM hayo madaraja na mabarabara anayoyajenga kwa hela zake za mfukoni watu hawayaoni!? Mbona mnatumia nguvu sana kuwaponda ambao hata serikali hawana!?
 
ACT Vita iko Zanzibar huko, CCM Zanzibar hawalali kwa Sefu na ACT yake.

Ni swala muda tu, hesabu za visiwani sawa na mbu anaengata P*mbu lazima umutoe kwa utulivu
Kwa mara ya kwanza. CCM watashinda Zanzibar. Sababu CUF watateuwa mgombea wao. ACT wanavutania wanachama,CUF wanawata joto sana ACT
 
cc: Wakudadavuwa
 
Silinde angehamia ACT Momba si angepita??
ACT Vita iko Zanzibar huko, CCM Zanzibar hawalali kwa Sefu na ACT yake.

Ni swala muda tu, hesabu za visiwani sawa na mbu anaengata P*mbu lazima umutoe kwa utulivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…