Mbunge wa Mbalari CCM ahamia CHADEMA

Mbunge wa Mbalari CCM ahamia CHADEMA

si ndo huyo ambaye aliwekwa ndani na polisi
kwa tuhuma za kutishia kuua?
vipi kaona magamba yamemzingua?
 
Viva CDM! Karibuni na wengine wenye kupenda maendeleo ya Watanzania,magamba ni janga kwa Taifa le2!
 
watajivua mmoja mmoja, Bado vuvuzela Nape atahamia CCJ
 
karibu kwa wapambanaji wa taifa,karibu 2waletee ukombozi wa kweli wananchi
 
Mhe Modestus Kiluf mmmmmmm.. kwenda zako acha urongo.. aisee rijamaa riongoriongo hiri.. eti linadiriki kuongopa kabisa eti mwanamke sio demu.. aisee rinafanya linachanganya na kumix mauongo..
Natoa Tamko: waongo wote BAN...!!
 
Mmmh! Maumivu ya kichwa huanza polepole ...
Naomba iwe kweli isiishie kwenye tetesi
 
Safari ya kujiimarisha 2015 Chadema ndo inaanza shika mkondo wake, na bado kufika mwaka huo wangi watakuwa wameshajifua magamba
 
Acha aende kwa wauaji wenzake cdm; maana ccm c mahala pa kutishia kuwaua wananchi!
 
Habari kama hizi uwa natuliza mukhari maana 50/50 hapa.............
 
Back
Top Bottom