Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe

mm mwenyewe deo ni mbunge wangu tatzo moja nyie hamjajua misaada alikuwa anatuletea ming tuu kwa kupitia muwakilishi wake mkuu wa wilaya sema kwa sasa yeye yupo jimbon kwahyo yy mwenyewe anagawa ndo maana kuna utofaut hapo ila jamaa kwa maendeleo ya wilaya yetu ya ludewa amejitaid sana usiish kwa kusikia ishin kwa kuona ndugu zangu,utazungumziaje ludewa wakat jimbon kwako kuna matatizo makubwa anza kwako halafu njoo jimbon kwangu nhayo tuu:):)
 
pindi chana yupo kamati kuu ya ccm , deo walimtosa hata ujumbe wa nec , kama jimbo hawataligawa basi ccm hawampitishi huyu jamaa mwaka huu , pona yake ni kama jimbo wataligawa otherwise aendeleza PR Aende chadema au kwa rafiki yake zitto act hapo atamsumbua pindi chana kupita kirahisi
 
Mzee warioba alisema kuna CCM MASRAHI NA CCM IMANI,,deo n ccm imani, wala sina hofu nae
 
Hivi kutoa misaada ktk jimbo lako kukaribia na uchaguzi mkuu ni haki? kwanini hukutoa ile misaada tangu zamani wakati wananchi walikuwa wakikulalamikia? hii ni rushwa ya uchaguzi ili wananchi wakuone unafaa. Wana Ludewa chukueni hatua, fikirieni kwa kina itakuja kuwagharimu.Miaka 5 imefika ndio leo unatoa shuka,vyandarua hospitalini.
Mtoa mada inaonesha haumjui filikunjombe vizuri...ni bonge la jembe tena misaada katoa kibao mikubwa mikubwa
 
Jimbo pekee ambalo UKAWA hawastahili kuweka mgombea ni ludewa.
 
filikunjombe ni mchapakazi,labda kwa sababu uchaguzi uko mbioni media zinafanya coverage sana.but kada huyu ni jembe
 
mbona hata akina mbowe tumewaona wakitoa misaada huko hai? au mmeona kwa filikunjombe tu?
Hivi kutoa misaada ktk jimbo lako kukaribia na uchaguzi mkuu ni haki? kwanini hukutoa ile misaada tangu zamani wakati wananchi walikuwa wakikulalamikia? hii ni rushwa ya uchaguzi ili wananchi wakuone unafaa. Wana Ludewa chukueni hatua, fikirieni kwa kina itakuja kuwagharimu.Miaka 5 imefika ndio leo unatoa shuka,vyandarua hospitalini.

Huyu jamaa hata mimi namshangaa maana siku hizi anajifanya yupo karibu sana wananchi na kutoa misaada.

Ndivyo walivyo....

Ndio nasema wananchi hapo ndio wanatakiwa watumie akili zao za kuzaliwa, mtu amekaa miaka 5 leo hii anawaletea shuka za elfu 6, 6. Lazima mjitambue eti wanamshangilia, mpaka nawaonea huruma. Ok lakini kampeni upande wa vijijini raha tupu mzee kasoma hadi std (iv), kutoka january hadi hii leo April hajawahi kukamata hata elfu 5, sasa leo unampa khanga na elf 25,000 atakuona wewe kama Mungu wake

Ludewa uelewa mdogo ndomaana deo anajua namna ya kucheza nao

Wambieni ccm hatuhitaji misaada wao si wamarekani.tunahitaji maendeleo tu.
 
mnaomlaumu filikunjombe sielewi ni kwanini.mbona wengine hata kwenda jimboni ni shida. Nadhani wano laumu ni wanga wa escro ambayo umemuondoa ndugu yao kwenye ulaji

pindi chana ndiye mpinzani wa deo, huyu mama mnafiki bungeni ndio wale wanaosema ndiooooooooo kwa kila kitu, filikunjombe hata hasipotoa msaada anastahili kurudi bungeni sio mnafiki
 
Mleta mada umejaa chuki zisizo na msingi sijui unazitoa wapi?
Filikunjombe misaada hajaanza leo ila wewe ndio umeanza kumfatilia leo,Poor mind
 
Back
Top Bottom