Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina atoa ufafanuzi juu ya mchango aliotoa Bungeni kwenye Hotuba ya Waziri Mkuu

Clemence Baraka

JF-Expert Member
Sep 4, 2012
1,620
2,000
Nadhani wewe wasukuma huwajui! Mimi ni msukuma,nawajua vizuri hawa ndugu zangu. Hawanaga time na mambo ya siasa za ukabila. Ndio maana unakuta waarabu na wahindi wengi tu wamepewa ubunge usukumani.

Usukumani mpaka wajaluo wanapewaga ubunge!

Kwa hulka ya wasukuma,ambao hata huko Zanzibar wako wa kutosha,hawana tatizo na kumpa kura mzanzibar kama anatosha.
Nakuunga mkono uliyosema. Nimekaa usukumani sija ona watu wanaopenda wageni na wakarimu kama wasukuma
 

mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
55,708
2,000
Nakuunga mkono uliyosema. Nimekaa usukumani sija ona watu wanaopenda wageni na wakarimu kama wasukuma
Hata mimi nashanga sana kuona wasukuma wakisemwa kwa mambo mabaya
Ila mambo haya yameanza kutokea miaka ya hivi karibuni tu ila kiukweli wasukuma hawana mambo ya ajabu,tena hakuna watu wakarimu kama wasukuma

Ova
 

Manjagata

JF-Expert Member
Mar 7, 2012
7,747
2,000
Magufuli Nyahinga ni Mwenzetu na amejipambanua ni Msukuma Mwenzetu na hata hivyo ww ni mamluki waswahili husema Maaneno hukidhi haja maridhawa kuliko Matendo.Kama tu mmediriki kuvuta Legacy yake tukiwa na akili zetu timamu mtashindwaje kumtenganisha na jamii yake.Nyongeza
Nyahinga kisukuma ni Tetemeko
Hiyo Nyahinga alijibandika mkuu kama alivyojibandika jina la Magu. Yeye babake alimwacha kule Urundini! Mtusamehe wakuu, tunatamani tuje tuwatawale sisi wenyewe!
 

Lu-ma-ga

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
4,439
2,000
atulie, awamu ya sukuma gang ishapita muambieni hatutafanya makosa teeena!!!.
Wasukuma utawachukia bure wale siyo size yako, wale ni deep sea. Tuache kwa sasa tunamsaidia mama aongoze kwa ufanisi na kwa kujiamini na kukamilisha miradi walioanzisha na hayati. Tunarudi 2030 kwa speed ya kupeleka nchi uchumi wa kati wa juu kabisa, shughuli yetu mmeshuhudia miaka 5.6 iliyopita
 

Lu-ma-ga

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
4,439
2,000
Kwa uelewa wangu, kanda ya ziwa mwaka 2025 itaibua Mtanzania wa kugombea urais, naye atashinda kitu hicho. Time will tell
Hapana 2025 ni ya mama, sisi tunakuja 2030 baada ya mama kumaliza vipindi vya kama katiba inavyotaka, lazima katiba iheshimiwe, kura ya turufu kumpata rais iko lake zone 2030 tena
 

masopakyindi

JF-Expert Member
Jul 5, 2011
15,519
2,000
Mwakilishi wa Wananchi wa Jimbo la Kisesa wilayani Meatu mkoa wa Simiyu atoa neno kwa wanahabari.

Anatoa taarifa ya kiserikali kama nani?
Na je huyu jamaa anatetea Awamu ya 5 kama nani?
Na taarifa hiyo anasoma kwani yeye ni Waziri Mkuu kivuli?
 

Mindi

JF-Expert Member
Apr 5, 2008
3,287
2,000
Kumbe ni ng'ombe alizotaifisha zilimuondia! Sasa hivi ujangiri na uvuvi haramu umerudi ziwa victoria sangara wanafukiwa wenye ukubwa wa dagaa! Tutakukumbuka Sana Mpina!
Naam, aliitisha minada, akawapanga madalali ili anunue mwenyewe kwa bei chee.

Kwa hiyo hakuna njia ya kudhibiti uvuvi haramu, zaidi ya kuwafilisi na kuwaua hao wavuvi? Naamini zipo njia
 

JOHNKEKE

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
1,157
2,000
Sikuwahi kujua Luaga Mpina ni kichwa namna hii!

Angalau kwa wasiojielewa wanaoshabikia miruzi, wakituliza akili baada ya kumsikiliza kwa kina watajua ripoti ya CAG haikupi picha kamili mpaka baada ya kupotiwa na kamati za bunge, serikali kutoa maelezo na hatima ya hoja kufikiwa.

Hoja nyingi ufungwa baada ya maelezo ya kuridhisha toka kwa mhusika na bunge kujiridhisha.
Nafikiri CAG ana kitu cha kujifunza ili kuongeza integrity yake.
 

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
114,584
2,000
Muongo huyu kuongeza mapato ya Serikali kwa njia dhalimu za kubambikia kesi FAKE ili kuwapora Watanzania si jambo la kujivunia hata kidogo. Nimesikiliza dakika 2 tu siwezi kumsikiliza kikaragosi cha mwendazake kwa zaidi ya nusu saa.
Mwakilishi wa Wananchi wa Jimbo la Kisesa wilayani Meatu mkoa wa Simiyu atoa neno kwa wanahabari.

 

gataca

JF-Expert Member
Aug 15, 2015
497
1,000
Athari zilizoachwa na awamu iliyopita ni kubwa kuliko tunavyofikiri, kwa sasa ni rahisi saana wale maadui wa Tanzania kama akina PK na mabosi wao kupenya sasa na kutuvuruga mchana kweupe....tusipokuwa makini linaenda kuundwa Taifa lingine lake zone (tuwe makini) zipo ideology mbaya sana sasa kutuangamiza...
[/QUOTE]
Ni kweli kabisa kuna hiyo ideology mbaya sana lakini si lake zone pekee nasikia pia kuna kongwe zaidi ya jamhuri ya watu wa pwani
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom