Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 17,234
- 32,666
Labda ya kuchunga ng'ombe na kuwa mahaouse boyMtambue wasukuma wanayo kura ya turufu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda ya kuchunga ng'ombe na kuwa mahaouse boyMtambue wasukuma wanayo kura ya turufu
Time will tellLabda ya kuchunga ng'ombe na kuwa mahaouse boy
Nakuunga mkono uliyosema. Nimekaa usukumani sija ona watu wanaopenda wageni na wakarimu kama wasukumaNadhani wewe wasukuma huwajui! Mimi ni msukuma,nawajua vizuri hawa ndugu zangu. Hawanaga time na mambo ya siasa za ukabila. Ndio maana unakuta waarabu na wahindi wengi tu wamepewa ubunge usukumani.
Usukumani mpaka wajaluo wanapewaga ubunge!
Kwa hulka ya wasukuma,ambao hata huko Zanzibar wako wa kutosha,hawana tatizo na kumpa kura mzanzibar kama anatosha.
Hata mimi nashanga sana kuona wasukuma wakisemwa kwa mambo mabayaNakuunga mkono uliyosema. Nimekaa usukumani sija ona watu wanaopenda wageni na wakarimu kama wasukuma
Hivi unafahamu kuwa Wasukuma idadi yao ni zaidi ya milioni 10? Na kwamba wanaweza wakitaka wakatoa rais Kila uchaguzi ?Wasukuma hatuwezi kuwapa tena hii nchi. Tumejuta sana kwa miaka hii mi5
Hiyo Nyahinga alijibandika mkuu kama alivyojibandika jina la Magu. Yeye babake alimwacha kule Urundini! Mtusamehe wakuu, tunatamani tuje tuwatawale sisi wenyewe!Magufuli Nyahinga ni Mwenzetu na amejipambanua ni Msukuma Mwenzetu na hata hivyo ww ni mamluki waswahili husema Maaneno hukidhi haja maridhawa kuliko Matendo.Kama tu mmediriki kuvuta Legacy yake tukiwa na akili zetu timamu mtashindwaje kumtenganisha na jamii yake.Nyongeza
Nyahinga kisukuma ni Tetemeko
Anataka kaburi la Chato lisifiwe lipigiwe na mapambioAnataka nini tena? Asisahau tuko awamu ya 6 sasa!!
My lips are sealedNa ndiyo maana akasema Wasukuma, au siku hizi Rombo ni ya Wasukuma?
Wasukuma utawachukia bure wale siyo size yako, wale ni deep sea. Tuache kwa sasa tunamsaidia mama aongoze kwa ufanisi na kwa kujiamini na kukamilisha miradi walioanzisha na hayati. Tunarudi 2030 kwa speed ya kupeleka nchi uchumi wa kati wa juu kabisa, shughuli yetu mmeshuhudia miaka 5.6 iliyopitaatulie, awamu ya sukuma gang ishapita muambieni hatutafanya makosa teeena!!!.
Hapana 2025 ni ya mama, sisi tunakuja 2030 baada ya mama kumaliza vipindi vya kama katiba inavyotaka, lazima katiba iheshimiwe, kura ya turufu kumpata rais iko lake zone 2030 tenaKwa uelewa wangu, kanda ya ziwa mwaka 2025 itaibua Mtanzania wa kugombea urais, naye atashinda kitu hicho. Time will tell
Mwakilishi wa Wananchi wa Jimbo la Kisesa wilayani Meatu mkoa wa Simiyu atoa neno kwa wanahabari.
Ni mfadhaiko tu unawasumbua, #yesu wao wa lugola kuwatoka ni jambo zito zaidi kuwai kuwatokea!sukuma gang hawaishi vituko.
Acha kudanganya watu, kanda ya ziwa yote ni wasukuma??unajua maana ya kura ya turufu??!mungu ni fundi mambo hayo ya kishamba jamaa ndio alitaka kutuletea, mungu anatupenda sana TZ.Mtambue wasukuma wanayo kura ya turufu
Naam, aliitisha minada, akawapanga madalali ili anunue mwenyewe kwa bei chee.Kumbe ni ng'ombe alizotaifisha zilimuondia! Sasa hivi ujangiri na uvuvi haramu umerudi ziwa victoria sangara wanafukiwa wenye ukubwa wa dagaa! Tutakukumbuka Sana Mpina!
Ni afadhali kusimamisha ng’ombe kuliko mtu wa huko, tumejifunza kitu.Kwa uelewa wangu, kanda ya ziwa mwaka 2025 itaibua Mtanzania wa kugombea urais, naye atashinda kitu hicho. Time will tell
Ni kama amepanicAnataka kujiuzulu ?
Hahahaanamlilia mwendazake
Mwakilishi wa Wananchi wa Jimbo la Kisesa wilayani Meatu mkoa wa Simiyu atoa neno kwa wanahabari.