kisugujira
JF-Expert Member
- Aug 13, 2012
- 774
- 196
Jamani hizi takwimu mnazipata wapi wapi? Wachina wako billion 2? Ama kweli Jamii Forum!
Jamani hizi takwimu mnazipata wapi wapi? Wachina wako billion 2? Ama kweli Jamii Forum!
I am listening to Lolensia. Its interesting. Kuna haja ya kureview curriculum yetu ili kuona ni namna gani tunaweza kuboresha somo la kiingereza katika nchi yetu. At a master level kushindwa kujieleza kwa kiingereza, kwa kweli ina mengi ya kutueleza kuhusu elimu yetu.
kwani kujua kingereza ndo kutaleta mabadiliko???
Mbona wabunge wa china hawakijui na wana maendeleo?
Japo ni vyema kujua kingereza vizuri lakini haimaanishi kuwa eti ndo maendeleo yatakuja
kwanza bunge linaendeshwa kwa kiswahili!
I am listening to Lolensia. Its interesting. Kuna haja ya kureview curriculum yetu ili kuona ni namna gani tunaweza kuboresha somo la kiingereza katika nchi yetu. At a master level kushindwa kujieleza kwa kiingereza, kwa kweli ina mengi ya kutueleza kuhusu elimu yetu.
Huyu dada ni mbunge wa kuchaguliwa na wananchi jimbo moja huko mkoa wa Mwanza.
Lugha yoyote inahitaji kufanyiwa mazoezi ya kutosha ili kuifahamu. Mazoezi ya kuzungumza. Hili ndilo tatizo la kiingereza cha watanzania wengi. Hujifunza lugha hiyo darasani, lakini hakuna mazoezi ya kuzungumza mitaani, makazini, nk. Ole wenu mjaribu kuwasiliana kwa kiingereza ndani ya daladala au mitaani - mtaambiwa mnaringa/mnajisikia sana!Nina Rafiki yangu amekuwa House Boy wa wazungu karibu miaka kumi na tano sasa japo aliishia la nne ana uwezo wa kuongea kiingereza saa 24 mfulululizo nadhani huyu angepata nafasi ya kuomba kura bungeni tungemsapoti ba ndugu!
Wenzao hujifunza kiingereza kuanzia University km option na baadaye kukiongea vyema kuliko wabongo walioanzia primary.Tatizo si Kiingereza ila watanzania na fikra zao.Fikra zetu hazitusaidii sana,ktk kujua lugha moja, n akuweza itumia vyema kutambua na ku describe mazingira na fani ya mtu binafsi.
Nina Rafiki yangu amekuwa House Boy wa wazungu karibu miaka kumi na tano sasa japo aliishia la nne ana uwezo wa kuongea kiingereza saa 24 mfulululizo nadhani huyu angepata nafasi ya kuomba kura bungeni tungemsapoti ba ndugu!
Nipo ninatazama bunge hapa. Baadhi ya wabunge wanaomba kura kwenye post katika institutions mbalimbali. Dah wale wanaojieleza kwa kingereza mpaka naona aibu. Kingereza kibovu kibovu kibovu...hakuna flow katika kujieleza hata wale wanaojieleza kwa kiswahili. Wengine wanatetemeka. Dah nchi yetu bado sana kama hawa ndo krimu yetu!???? Dah mpaka nimeona aibu ingawa niko mwenyewe ndani. Hawa ndo wanatakiwa kuleta mabadiliko katika jamii yetu?
Kuzungumza kiingereza hawezi,maendeleo Kisarawe hakuna..sijui ana faida gani. Mpaka leo Kisarawe haina lami,maji wala umeme.