Amefukuzwa mama yako lkn Nyalandu aliondoka kwa ridhaa yake
Hayo ni Maelezo ya Tume ya Uchaguzi sio yangu wala ya Mama yangu!
Huyo Mtulya bora kawahi kurudi CCM , wengine kimbunga cha Lipumba kuwafuta kipo njiani
Ama wamtambue Lipumba au wafutwe
Amefukuzwa mama yako lkn Nyalandu aliondoka kwa ridhaa yake
Yaani cjui itakuwaje kama nchi itakosa upinzani? Nani ataikosoa serikali? Madhara yake ni makubwa kuliko faidaHiki ndio kipindi cha upumbavu wa ngozi nyeusi.laana
Kaka inawezekana sio kweli, wananchi wapo watakaokua wanamuunga mkono Rais. Shida ni kwamba media zinawapa viongozi publicity na kiongozi siku hizi anaonekana ndio muhimu kuliko mwananchi ambae ndie mlipa kodi wakati viongozi hawalipi! MWANANCHI="mwenye nchi", hao ndio wamewapa dhamana viongozi ili wawatumikie, lakini inakua kinyume chake! Ukiwa na akili zako zimekaa vizuri sana ni vigumu kukubali uongozi!Awamu hii wanaomuunga Mkono rais ni viongozi tu....siwaoni wananchi wakifanya ivo
akyanani sisiemu inamatawi mengiMbunge wa jimbo la kinondoni maulid mtulia wa CUF ametangaza kukihama chama hicho na kuhamia CCM,hivi nini kipo nyuma ya haya yanayojiri sasa ktk siasa hapa tz?
Ubalozi unamsubiriKwa Mujibu wa Taarifa ya Habari ya Azam 2 ya leo saa mbili usiku huu, Mbunge wa Kinondoni kupitia Chama Cha Wananchi (CUF)Maulid Mtolea amejivua uanachama wa CUF na kujinga na Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Hapo mitutu na mapanga lazima vitumike.Hilo jimbo wapinzani wakijipanga vyema, litarudi kwao..pengine ccm watumie mitutu na gilba..