Mbunge wa Kibaha, S. Koka acha kuwahujumu maskini

Anaweza akawa mzuri kwa kikundi ama mtu binafsi ila usiombe akatamani jambo kutoka kwako na analihitaji hutakaa umdhbnie ndiye. Anafanya kibaha iendelee kuwa na mapori wakati kibaha ishakuwa mji na watu wanahangaika kutafuta maeneo ya kujenga
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom