Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 5,897
- 10,358
Kamati ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge imependekeza Mbunge wa Kawe, Halima Mdee (CHADEMA), asimamishwe mikutano miwili ya Bunge kuanzia leo, baada ya kutiwa hatiani juu ya kuunga mkono kauli ya CAG kuwa Bunge ni 'dhaifu'.
Pia soma
Pia soma
Halima Mdee: Msimamo wangu kuhusu kauli ya CAG uko palepale, ninajua nitaadhibiwa na niko tayari
Mbunge wa Kawe kwa tiketi ya CHADEMA, Halima Mdee kaandika ujumbe huu kwenye akaunti yake ya twitter: Nimemsikiliza kwa makini Spika, akitutaka mimi na CAG Assad kuhudhuria Kamati ya Maadili ya Bunge nitahudhuria lakini msimamo wangu kuhusu kauli ya CAG uko palepale! Najua Nitaadhibiwa tena na...
www.jamiiforums.com
Halima Mdee aitikia wito wa Kamati ya bunge haki, maadili na madaraka ya bunge
Mbunge wa Kawe Halima Mdee afika mbele ya Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kujibu tuhuma za kutoa kauli za kudhalilisha Bunge alizozitoa dhidi ya chombo hicho. Baada ya kauli ya Profesa Assad, Halima Mdee alihojiwa na baadhi ya vyombo vya habari kuhusu alichokisema CAG na...
www.jamiiforums.com