Mbunge wa Kawe, Halima Mdee akutwa na hatia ya kuunga mkono kauli ya CAG, afungiwa mikutano miwili ya Bunge

Huyu Dada CCM Wanapata naye shida sana, Kawabwaga mara mbili mfurulizo jimbo la Kawe hawana hamu naye, Wameshamnyanyasa mpaka hata wao sasa wanasikia maumivu.
 
Back
Top Bottom