Mbunge wa Kawe, Halima Mdee akutwa na hatia ya kuunga mkono kauli ya CAG, afungiwa mikutano miwili ya Bunge

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
5,897
10,358
Kamati ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge imependekeza Mbunge wa Kawe, Halima Mdee (CHADEMA), asimamishwe mikutano miwili ya Bunge kuanzia leo, baada ya kutiwa hatiani juu ya kuunga mkono kauli ya CAG kuwa Bunge ni 'dhaifu'.

5BA3F83C-40F9-4C86-98CF-46D75E480BB7.jpeg

Pia soma

Kamati ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge imependekeza Mbunge wa Kawe, Halima Mdee (CHADEMA), asimamishwe mikutano miwili ya Bunge kuanzia leo, baada ya kutiwa hatiani juu ya kuunga mkono kauli ya CAG kuwa Bunge ni 'dhaifu'.

View attachment 1060889

Pia soma

Waliomuunga mkono rais kuhusu kikokotoo mwanzoni wao wamepewa adhabu gani?
 
naiona tanzania ya viwanda inakuja kwa kasi. Sasa kma bunge litashindwa kufanya kazi na CAG, inaamana zile trillion ndio zitaongezeka sasa?zile za 1.5 ?
 
Back
Top Bottom