Mbunge wa Kawe, Halima Mdee akutwa na hatia ya kuunga mkono kauli ya CAG, afungiwa mikutano miwili ya Bunge

Kamati ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge imependekeza Mbunge wa Kawe, Halima Mdee (CHADEMA), asimamishwe mikutano miwili ya Bunge kuanzia leo, baada ya kutiwa hatiani juu ya kuunga mkono kauli ya CAG kuwa Bunge ni 'dhaifu'.

View attachment 1060889

Pia soma

Ila tuseme ukweli ha kamwanamke ni jembe sana bwana. Kakisimama kwenye reli hukatoi hata kwa nyundo. Basi tu sijui nilichelewa wapi ningekaoa haka
 
Bunge ni dhaifu kwa maana kuwa hata aliyesema bunge ni dhaifu naye ni dhaifu kwa kuwa nae ni sehemu ya bunge, kwa nini aadhibiwe wakati wote ni walewale?.
 
Hii nchi ya ovyo sana,sasa bunge linagoma kufanya kazi na mkaguzi mkuu wa serikali,!linamkomoa nani?nani anapata hasara?nani anaumia?yaani haya majitu hayawezi kutofutisha CAG na NGOs,ukigoma kufanya kazi na NGOs au taasisi binafsi,hao watu binafsi,ndio wanapata shida,mambo yao hayaendi!
Sasa unamgomea CAG,harafu ukaguzi wa mashirika ya umma,hakmashauri,nani atatolea maagizo,na kusimamia kama kuna ufisadi umefsnywa?
Ukimgomea CAG,maana yake,umebariki wizi wowote ufisadi wowote utakaofanyika,umewapa majizi ya serikalini ruhusa ya kufanya watakavyo,maana hakuna wa kuwakamata,
Itakuwaje na sisi wananchi tugome kutoa kodi!
Au polisi wagome kulinda!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona hivyo ujue kuna vimeo zaidi ya 1.5Tr

"hapa hakuna wizi tena maana wateule ni watu waaminifu sana na wasiokosea na ndio maana hakuna haja ya CAG. Si umeona mwenyewe TBA walivyofurumushwa pale Ukonga, si umeona mwenyewe upakaji wa rangi za ndege? ....au si unaona ujenzi wa fly over Ubungo kumaliza foleni Vs round about ya muda?"
 
Dawa ni kuwa na bunge dogo lenye watu makini. Kuna watu wanapiga meza sababu tu jirani yake kapiga na kushangilia.
Tatitizo ni kutokuwa na wabunge sahihi walio makini kutenda kazi za kibunge. Bunge letu limejaa wapiga vigelegele, watu ambao hawawezi kufikiri kiyakinifu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inafikirisha.
mimi siku moja baada ya kusoma majina na vyeo vya waliolipwa pesa za Escrow hasa wale wa 1.6b na nusu bilioni na mamlaka walizonazo kuandaa katiba ya wanyonge hasa kile kifungu cha katiba (1984) Chapter One, part ll (9c) (rasilimali za nchi na pesa za Escrow ni mali ya wananchi na wanyonge) nilisoma kifungu hicho na aliesaini chini ndio hao hao waliopiga pesa za escrow nikacheka sana nikahusisha ufisadi wa escrow na vifo na njaa na magonjwa ya watu masikini zaidi na hapo ndo nikaona kuwa evolution of man is not uniform!! yaani nikaona huku afrika evolution of man bado inaendelea!! labda hatujafikia stage ya mwisho ya ‘home sapiens’! nikawaza mengine yaani pambano kali la kuwania sanduku la kura kati ya simba na yanga bahati nzuri refa kutoka halmashauri ana kadi ya uanachama ya simba na kapiga jezi redi hata yanga wakifunga anasema mmeoteaaaa!! simba ambao walikodi kontena la waganga wa kienyeji toka Nigeria wakifunga goal la mkono, refa anaruka ruka anasema gooooooooal weka mpira kati!!wajinga oyeee!!! mara sasa hivi utaratibu ni bunge mahakama na serikali kupimana ubavu sasa refa wao kasema huyu mmoja ni goigoi kimewaka!! sasa timu mbili ziko kimya je wakimkubali refa hawa wawili na yule mmoja akimtosa refa nini kitatokea? nani ataumia timu moja ikimkataa refa bunge sirikali mahakama au wananchi??? siku ya wajinga ni jana this comment is for yesterday fools day but very sorry nimeandika leo!!! wajinga oyeeeee!!! better late than never!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
haiwezekani mtu ukashindwa kufanya kazi na wabunge zaidi ya 45 wa vyama vya upinzani, utakuwa na matatizo.
 
Back
Top Bottom