Mnoo c ulisikia yule nchambi?? Bunduki 16 , 10 anazimiliki kinyume na sheria...na kikianzishwa hicho chuo watakao fauli vzr na makada wa ccm maana ni wezi toka kwenye matumbo ya mama zaoUwezekano huo ni mkubwa sana
Mh.Kishimba anatakiwa kufahamu kuwa hapa Tanzania chuo kuna Chuo hicho,huko wanatoa taaluma ya wizi kwa ngazi ya cheti,stahahada,astashahada ,digrii za kawaida,masters, uzamili,uzamivu hadi maprofesa wanahitimu.Chuo hicho hats yeye ni mwanafunzi/mhitimu ila hajajitambua kuwa anasoma.CCM bhana wameshiba wanabakia kujamba tu
Wanapita bila kupingwa na kushinda kwa kishindo kwenda kuongea...wao Bungeni.Hii ndiyo Tanzania tuanayoitaka na tumepewa na CCM kwa gharama ya kodi zetu.Ndiyo wabunge wanao hitajika kwa sasa maana hawana hoja za kujenga
Wanapita bila kupingwa na kushinda kwa kishindo kwenda kuongea...wao Bungeni.Hii ndiyo Tanzania tuanayoitaka na tumepewa na CCM kwa gharama ya kodi zetu.
Mtoa mada amepotosha umma. Mbunge alikuwa anataka kianzishe chuo cha watumishi wa umma kupambana na wezi wa mali ya umma.Huyu mbunge toka nimeanza kumjua hajawahi ongea point kamwe. Anyway ni haki yake kutoa maoni wako wabunge wako bungeni wanakula posho na kodi zetu bure tu
Etiii watu wa kahama ndo mlimnyima lembeli kisa huyu!
Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Kuna huyu ,kibajaji ,japipo,msukuma,malingaBila wabunge kama huyo ccm leo tungekuwa tunaisoma kwenye magazeti tu
Mbunge wa Kahama Mjini kupitia CCM Jumanne Kishimba, ameiomba Serikali ifungue chuo cha wizi kwa kuwa matukio ya wizi katika sekta za umma na Halmashauri nyingi umeshamiri kwa kiasi kikubwa na kwamba chuo hicho kitasaidia wale watu wanaoenda kuchunguza wezi, kuzijua mbinu zao na kuwabaini.
Hayo ameyabainisha leo Mei 28, 2020, Jijini Dodoma wakati wa mkutano wa 19, kikao cha 39, wakati wa uchangiaji wa hoja ya Kamati ya Kudumu ya Huduma za Serikali za Mitaa, na kueleza kuwa ni vyema chuo hicho kikawekwa japo kwa kutumia jina lingine ili kukomesha suala hilo.
"CAG na Waziri wa Fedha yuko hapa hawa vijana wanaoajiriwa lazima wanatoka shule inayofundisha maadili mema na uaminifu, sasa wanaenda kupambana na wizi wengine wamesoma Seminari, kwanini serikali haifikirii sasa kuanzisha chuo cha wizi, kwa maana mtu anapochaguliwa kwa sifa ya uaminifu kwenda kupambana na wezi anaenda kupambana nao namna gani? afadhali apite kwenye chuo hicho kwa miezi mitatu ili ajue akili ya wizi, hawa vijana wetu tutawamalizia magerezani na hali ya wizi ni mbaya sana" amesema Mbunge Kishimba.
Credit: EATV
Mwaka jana, Kishimba alitaka kilimo cha bangi kihalalishwe nchini Tanzania Mbunge Jumanne Kishimba (CCM) ataka kilimo cha bangi kuhalalishwa nchini Tanzania
Maoni Yangu
Kumbukeni huyo mbunge alishawahi kuomba Serikali iruhusu bangi itumike kihalali.
Daaaa hao ndiyo wabunge wetu ambao ni watunga sheria na wapitisha miswaada na mikataba mbali mbali.
Kama taifa bado tuna safari ndefu.
Chuo cha uwizi utafundishwa mpk jinsi ya kujilinda usipigweBhayolanga bhosambo gete bhabehi??eyo kishimba angalelagaee dogopola mishishi gete lekaga enyatumbaf yako wipange!!!#AMAENDELEO GADE NA CHAMA
Mbunge wa Kahama Mjini kupitia CCM Jumanne Kishimba, ameiomba Serikali ifungue chuo cha wizi kwa kuwa matukio ya wizi katika sekta za umma na Halmashauri nyingi umeshamiri kwa kiasi kikubwa na kwamba chuo hicho kitasaidia wale watu wanaoenda kuchunguza wezi, kuzijua mbinu zao na kuwabaini.
Hayo ameyabainisha leo Mei 28, 2020, Jijini Dodoma wakati wa mkutano wa 19, kikao cha 39, wakati wa uchangiaji wa hoja ya Kamati ya Kudumu ya Huduma za Serikali za Mitaa, na kueleza kuwa ni vyema chuo hicho kikawekwa japo kwa kutumia jina lingine ili kukomesha suala hilo.
"CAG na Waziri wa Fedha yuko hapa hawa vijana wanaoajiriwa lazima wanatoka shule inayofundisha maadili mema na uaminifu, sasa wanaenda kupambana na wizi wengine wamesoma Seminari, kwanini serikali haifikirii sasa kuanzisha chuo cha wizi, kwa maana mtu anapochaguliwa kwa sifa ya uaminifu kwenda kupambana na wezi anaenda kupambana nao namna gani? afadhali apite kwenye chuo hicho kwa miezi mitatu ili ajue akili ya wizi, hawa vijana wetu tutawamalizia magerezani na hali ya wizi ni mbaya sana" amesema Mbunge Kishimba.
Credit: EATV
Mwaka jana, Kishimba alitaka kilimo cha bangi kihalalishwe nchini Tanzania Mbunge Jumanne Kishimba (CCM) ataka kilimo cha bangi kuhalalishwa nchini Tanzania
Maoni Yangu
Kumbukeni huyo mbunge alishawahi kuomba Serikali iruhusu bangi itumike kihalali.
Daaaa hao ndiyo wabunge wetu ambao ni watunga sheria na wapitisha miswaada na mikataba mbali mbali.
Kama taifa bado tuna safari ndefu.
Umeshindwa kuelewa alimaanisha nini. Kabla ya kulaumu ungeelewa kwanza. CIA na FBI inapowakamata wahalifu waliowasumbua sana kwenye uchunguzi wao huishia kuwaajiri ili wawafundishe mbinu zao za uhalifu waweze kuthibiti wengine. Au kwakuwa wao ni wazungu ni sawa ila kwa Watanzania ni nongwa?Wabunge wa ccm ninyumbu