TANZIA Mbunge wa Jimbo la Konde Zanzibar, Khatib Haji afariki Dunia

Siyo Yule aliyeuliza maswala ya mitume na wafufua wafu??

Poleni wafiwa, duniani tunapita
 
Hii mada ni ya tanzia naona sasa tunaigeuza kuwa ya kisiasa ,tunapochangia ni vema tulajielewa nasi ni wapitaji hapa duniani na vema tukaifariji familia ya mfiwa,yes nami ninaungana nanyi Zito na lipumba ni wasaliti ila ingekuwa vema wawe na mada yao tofauti na hii ya tanzia,Asalaam
 
Mbunge wa Jimbo la Konde Ndugu, Khatib Haji wa Chama cha ACT Wazalendo, amefariki Dunia. Umauti umemfika katika Hospitali ya Rufaa ya Muhimbili akipatiwa matibabu Alfajiri ya leo.

Khatibu aliwahi kuwa Mbunge wa Konde kupitia Chama cha Wananchi CUF mwaka 2010 hadi 2020. Alishawahi kushika nafasi ya Waziri wa Kilimo Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mwaka 1984 hadi 1987

Katika Bunge hili la 12, Khatib amekuwa Mbunge wa tatu kufariki tangu Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020. January 21 2021 Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Manyara, Martha Umbulla alifariki dunia na Feb 12, 2021 Mbunge wa Jimbo la Muhambwe, Mkoa wa Kigoma Atashasta Nditiye alifariki Dunia baada ya kupata ajali ya gari
View attachment 1791420
Mbunge wa Jimbo la Konde Ndugu, Khatib Haji​
Isiwe tu wave 3, mbona itakuwa balaa!!
 
RIP
 
Back
Top Bottom