Mbunge wa Geita Anusurika Kichapo Jimboni Geita!! Mkutano Wavunjika

Mbunge wa Geita kwa ticket ya CCM amenusurika kupigwa na wananchi wenye hasira kali kwa kile kilichodaiwa kumkumbatia diwani na mtendaji wa kata wanaotuhumiwa kwa ufisadi na kumfukuza mwenyekiti wa kijiji aliyekuwa akiwatetea wananchi (kupambana na ufisadi)
 
Wakuu mwenye undani wa habari hii atujuze wa jamvi,maana nimeona ikitolewa itv mda si mrefu.
 
alafu alipo ulizwa akajibu eti hajazomewa wakati hata mwenyekiti wa kijiji kathibitisha kuwa amezomewa
hii hulka ya uongo sielewi tumeipata wapi.yaani teknolojia itatuumbua sana.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
Mbunge wa Geita kwa ticket ya CCM amenusurika kupigwa na wananchi wenye hasira kali kwa kile kilichodaiwa kumkumbatia diwani na mtendaji wa kata wanaotuhumiwa kwa ufisadi na kumfukuza mwenyekiti wa kijiji aliyekuwa akiwatetea wananchi (kupambana na ufisadi). Source ITV taarifa ya habari
 
waite uchaguzi mdogo, tuchukue jimbo. Jamaa nimemuona ktk taarifa ya habari ya ITV, Duuuuh! Magamba wanambio balaa...wanaogopa kipigo cha walipa kodi
 
Najua kwamba upo humu jf, pia natambua uwezo wako mkubwa kisiasa ktk kujenga hoja zenye mashiko, pia nafahamu uzalendo ulio nao juu ya Taifa hili na Afrika, kwa sifa zako hizo chache hapo juu napenda kuchukua fursa hii ili kuku-inspire 2015 utangaze nia na uchukue jimbo la Geita kupitia CDM. kwani kitendo mbunge wa Geita kuzomewa jana na wananchi wa geita kwa kukombatia ufisadi ndani ya halmashauri yake ni ishara tosha kuwa ccm haina tena jipya huko Geita.
 
Mbunge wa Geita kwa ticket ya CCM amenusurika kupigwa na wananchi wenye hasira kali kwa kile kilichodaiwa kumkumbatia diwani na mtendaji wa kata wanaotuhumiwa kwa ufisadi na kumfukuza mwenyekiti wa kijiji aliyekuwa akiwatetea wananchi (kupambana na ufisadi). Source ITV taarifa ya habari

Angeshikishwa adabu ili aonje machungu ya M4C. Akifika bungeni June akawasimukie.
 
pia wananchi wanadai juzi alienda na majambazi wakawapiga mabomu wanachi na yeye badala ya kuwapa pole akaenda zake kutembelea kijiji kingine na wamesema kijiji chao akione kama kituo cha polisi

Mkuu Majambazi ni wale Mbwa wa CCM?
 
alafu alipo ulizwa akajibu eti hajazomewa wakati hata mwenyekiti wa kijiji kathibitisha kuwa amezomewa

ni utamaduni wa wenye nchi kutumia nguvu zao zote kukana hata mambo yaliyo wazi. Natumaini utamaduni huu unaanza kupata mapingamizi ya wazi taratibu na nadhani .inabidi wajipange sana kwani si dalili nzuri kwa upande wao.
 
Moderators tunaomba kuunganishwa kwa thread za huyu mbunge zimeshakuwa nyingi mnoooo.!!?
 
Hivi Geita Mbunge wao anatoka Chama Cha Malooters?
Gamba ni Gamba tu ndugu, huyu Mbunge alidhani watu wa Mikoani ni mzezeta ambao hawajui kuhoji kumbe alikuwa anajidanganya.

Watu wa Mikoani ni wafuatiliaji wakubwa wa maendeleo yao na wamekuwa wanawawajibisha viongozi wao pale inapogundulika ubadhirifu

Hii ni kinyume kabisa na wakazi wengi wa Dar es salaam, wengi pombe ndio jambo la msingi kwao na hawana hata guts za kumuwajibisha na kumuondoa madarakani hata Mwenyekiti wa Serikali ya mtaa ambaye anakuwa na tuhuma za wazi za ubadhirifu achilia mbali Diwani!
 
Wananchi wamekosea. Wangemshikisha adabu lau ajue kuwa nchi hii si shamba la bibi tena.
 
Ndiyo wakuu! Kila kukicha siku hizi wananchi wanaendelea kukataa kuwa mtaji wa ccm. Ile kauli ya mjinga akijitambua ,mwerevu upo matatani imetimia leo baada ya mbunge wa Geita -ccm ,ndgu Max kutimuliwa na wananchi kwenye mkutano wa hadhara akiwa pamoja na diwani wa kata hiyo ya Nkome. Huu ni mwanzo ,much more will come if this being a case. Source: ITV NEWZ ,SAA 2 USKU HUU.
 
Back
Top Bottom