Mbunge wa Geita Anusurika Kichapo Jimboni Geita!! Mkutano Wavunjika

Mbunge wa CCM Jimbo la Geita amenusurika kichapo leo hii baada ya kutuhumiwa kulinda ubadhirifu katika baadhi ya kata Jimboni humo.

Amezomewa na wananchi na mkutano umevunjika na wananchi wanasema hawamtaki Mbunge huyo wala diwani.

Source: ITV News.
sounds good
 
Watarudia lini kumkimbiza na mimi nimuone. Emmbu nijulisheni ITV marudio yake jamani maana nakufa mbavu bila kutekenywa
 
Niliiona hii mtu mzima anakula chocho alafu kwenye simu anakana!
Magamba anaeleta uongo ata kwa vitu obvious!
 
Huko Geita kulikuwa na Diwani mmoja anaitwa Msukuma. Akawa MWenyekiti wa Halmashauri ya Geita akawa anapambana na kampuni ya madini akitaka haki lakini mwishowe wakala njama mkuu wa mkoa akasimamia kura za kumfuta Uenyekiti wa halmashauri. Nasikia aliacha na huo udiwani lakini akabaki chamani (CCM). Kuna mkubwa mmoja anamzuia asihame chama. Huyu Msukuma ni kipenzi cha wazinza. Huenda ni mzimu wake ndio unamsumbua Mbunge.

Ni kweli kaka.Usijali sasa hivi kuna Diwani wa viti maalumu CHADEMA anaitwa Marceline Simbasana...ni mchapakazi kweli kweli.Anafanya kazi kuliko hata wabunge wa majimbo
 
Back
Top Bottom