Mbunge wa CHADEMA na wanachama 38 wafungwa kamba za shingo na Polisi baada ya pingu kukosekana

Tafadhali nahitaji msaada hapa. Kwa taarifa zilizopo CHADEMA ameshinda Diwani moja tu huko Rungwe. Naomba mnijuze kama yupo mwingine aliyeshinda Morogoro
Huku Rungwe walikuja na vikosi kadhaa kuhakikisha ushindi. Walitenda vya kutenda lakini wananchi wakasimama na kumpa diwani wa upinzani kura nyingi kuliko za mwanzo.
 
Kujitambulisha jina ndio kutokuwa muoga?
I.D unayoiona ndio jina langu, au kama unataka majina kamili ni kwamba naitwa Freyzem Ngwaira Shemaro..
Nipo Mavumpa hapa, njoo wee zwazwa!.

Na wee taja yako!

Enhee umesema unaitwa Freyzem Ngwaira Shemaro, Mavumpa ndio wapi? Hebu nielekeze vizuri nine niimarishe vuguvugu.

Maana kujificha nyuma ya techno nimechoka. Elekeza vizuri basi nije nikuunge
 
Makamanda suluhisho la haya yote ni kumtoa Mbowe na Lowasa katika uongozi wa chama chenu.

Wamekosa Plan B.
 
Hili tukio nimelifuatilia kwa karibu sana naona unadhani peke yako ndio mwenye kujua undani wake, advocating upendo wakati mlikua mmeshamwaga petrol Hospital tayari kwa kuwachoma wagonjwa huo ndio upendo?

Mpaka mleta mada kaanza kunyofoa pictures baada ya kumuumbua na hii
image-jpeg.639917


Eti polisi kajiiba wakati picture inaonesha video camera ya muandishi wa Habari, hakuna police Tanzania anaweza kuvumilia huu uendawazimu wa chadema lijua likali lazima arudi ndani tena sababu amepamiss
Ndiyo maana naanza kuamini hata Lissu walimfanyizia wenyewe. Hawa jamaa ni wapumbavu sijui ni kukosa kazi. Unayo video mkuu turushie
 
Kwanini mkuu?
Wamesafiri usafiri wa luxury serikali sasa hivi inabana matumizi defender moja ilikuwa inawatosha ukiwalaza wakiwa na pingu kumi chini halafu kumi wengine wakalalia wale kumi juu yao na pingu ngazi ya pili halafu ngazi ya tatu ukalaza wengine kumi juu yao na pingu halafu ngazi ya NNE ukamalizia wale nane kuna shida gani juu yao askari wanaowasindkiza si wanawakanyagia juu wakiwa wima hata wawe kumi.Polisi wawe wabunifu Nina uhakika kwa kubebwa hivyo utii wa sheria bila shuruti Tanzania lazima uvunje rekodi za dunia
 
Kujitambulisha jina ndio kutokuwa muoga?
I.D unayoiona ndio jina langu, au kama unataka majina kamili ni kwamba naitwa Freyzem Ngwaira Shemaro..
Nipo Mavumpa hapa, njoo wee zwazwa!.

Na wee taja yako!

Halipatikani popote hata katika orodha ya waliofariki halipo. Kumbe maneno tu na ujasiri Wa kujificha nyuma ya tekno, sisi wanamapinduzi uchwar tunaoamini tutakomboa nchi kwa Ku type tu, hahahahaha, kamba za shingo kidogo tu tunalalamika hao
 
Police officers wanatakiwa wawangulie hawa wahuni kesi ya uhujumu uchumi kuchoma shule na Ofisi za serikali na kutaka kuchoma Hospital ya serikali ni kuhujumu uchumi. Wakatafute nchi ya kufanyia huu uhuni sio Tanzania
Uhujum uchumi ina dhamana kama inayo wawabambike na kesi ya kutakatisha pesa
 
Mambo kama haya naona raisi wetu ndio anayafurahia!!! Then watasimama na kujigamba kuwa wameshinda kwa kishindo na kisayansi,hhuenda wanamaanisha kishindo cha risasi,vvilio na mabomu huku damu za wanyonge zikimwagika huku wao wakinywa mivinyo na kukenua ndani ya suti zilizonunuliwa kwa kodi za umma na wanaomwagwa damu!!
 
Hili tukio nimelifuatilia kwa karibu sana naona unadhani peke yako ndio mwenye kujua undani wake, advocating upendo wakati mlikua mmeshamwaga petrol Hospital tayari kwa kuwachoma wagonjwa huo ndio upendo?

Mpaka mleta mada kaanza kunyofoa pictures baada ya kumuumbua na hii
image-jpeg.639917


Eti polisi kajiiba wakati picture inaonesha video camera ya muandishi wa Habari, hakuna police Tanzania anaweza kuvumilia huu uendawazimu wa chadema lijua likali lazima arudi ndani tena sababu amepamiss

Usidhani kwamba sisi ni wapumbavu.Hata sisi tumefuatilia.Hao waluopelekwa Morogoro wengine wamekamatwa toka Jumamosi wengine Jumapili.

Waliochoma ofisi za Katambi ni Green guard tena wamepewa.maagizo na Mkurugenzi na DC ili wapate sababu ya kuwaadhibu.

Inakuwaje.MTU yuko Rumande halafu awe ameenda kuchoma moto??Alichomaje moto wakati yuko Mahabusu??

Msidhani hatujui ni Diwani wa CCM akiahirikiana na DC na Mkurugenzi ndiyo waliofanya ujahili huo.Na walipoonekna na RAIA wakawaficha.Shae on you.Fanyeni siasa na si Mauaji
 
AliyesababishIa serikali hasara ya mabilioni ya shilingi hadi Bombadier yetu ikakamatwa tumfanyeje? TUNA SOMO TOKA ZIMBABWE
 
Uhujum uchumi ina dhamana kama inayo wawabambike na kesi ya kutakatisha pesa

Hata mwaka 2015 walifanya hivyo hivyo UVCCM waliochoma mengi wakaqaaingizia Upinzani. Yaani CCM ni wauaji kabisa kabisa.
 
Wamesafiri usafiri wa luxury serikali sasa hivi inabana matumizi defender moja ilikuwa inawatosha ukiwalaza wakiwa na pingu kumi chini halafu kumi wengine wakalalia wale kumi juu yao na pingu ngazi ya pili halafu ngazi ya tatu ukalaza wengine kumi juu yao na pingu halafu ngazi ya NNE ukamalizia wale nane kuna shida gani juu yao askari wanaowasindkiza si wanawakanyagia juu wakiwa wima hata wawe kumi.Polisi wawe wabunifu Nina uhakika kwa kubebwa hivyo utii bila shuruti Tanzania lazima uvunje rekodi za dunia
Unawaonea bwana makamanda walikwenda kulinda kura
 
Back
Top Bottom