Mbunge wa CCM, Esta Bulaya, Afanya Tukio la Kishujaa Mjini Dodoma!

Esther Bulaya all the best kwa upambanaji manake umeingia kwenye listi ya Majembe ya INJI hii.
 
Mvinyo wa Dompo huo !!!
Kiukweli Dompo ndio zangu na Altar as well!. Mimi Mkatoliki hivyo baada ya kile kibali cha harusi ya Cana, tunazipiga mpaka Church ndio itakuwa Dodoma?'. Ni Dompo kwa sana na kwa kwenda mbele!.
 
Kama kila member angekuwa anarusha thread kwa mtindo wako JF ingekufa ingejaa *****. Shiriki kutunza heshima ya JF

Mh, nafikiri Pasco hamkumwelewa, ametumia aina ya art ku present taarifa. Where did he go wrong?
Him or Ester. Presentation yake mi nimeipenda...
 
Baada ya kusign petition sasa ajitokeze hadharani kuomba msamaha kwa zile vurugu alizofanya kule Igunga ili na mimi nimpongeze, kwa mbunge wa kike kwenda kwenye hotel wanayokaa wanaume usiku wa manane kufanya vurugu sio utamaduni wetu waafrika. Kuweka saini ni ushujaa But isije ikawa amerespond baada ya wana Mara kuwatangazia kiama wabunge wao watakaowasaliti.
 
Tehe tehe tehe....Baru Baru bana!! Haya ngoja tusikie ukweee....

Ina maana mbunge wetu wa huko ni dume-jike?:doh:
 
Kwangu mie namna hoja ilivyoletwa si tatizo, kikubwa ni mantiki yake. kama Ester Bulaya amesaini, basi nafuta maneno ambayo nimekuwa nikimuita msaliti, hongera zake kwa moyo wa ujasiri, hata akibaki huko CCM bado baadhi tutamuona mpigania haki kama anavyozungumza. Very great Bulaya and keep it up!
 
Hongera Esther umesimama ili uhesabiwe, na wakati ni huu, kwa wale wanaosubiri mpaka 2015 watakkuwa wamechelewa sana.
 
Pasco = zero!
Shujaa aache kuwa Zitto awe huyo Ester wako?? Acha hizo bana, hata kama ndo unamtafutia jina na sifa sio kupitia kwenye agenda za wengine.
Be a Great Thinker!
 
CCM wakimtema aungane na CHADEMA mapema na wampe pia ubunge wa hisani na itakuwa imeongeza wigo mzuri wa kijiografia kwa chama. Hongera sana ilimbuye (dada yangu)
 
Pasco = zero!
Shujaa aache kuwa Zitto awe huyo Ester wako?? Acha hizo bana, hata kama ndo unamtafutia jina na sifa sio kupitia kwenye agenda za wengine.
Be a Great Thinker!

Kaka Pasco hajakosea, hakuna mbunge mwingine yeyote mwanamke Wa CCM aliyedhubutu ku-sign hiyo karatasi, hivi
 
Pasco = zero!
Shujaa aache kuwa Zitto awe huyo Ester wako?? Acha hizo bana, hata kama ndo unamtafutia jina na sifa sio kupitia kwenye agenda za wengine.
Be a Great Thinker!

Kaka Pasco hajakosea, hakuna mbunge mwingine yeyote mwanamke Wa CCM aliyedhubutu ku-sign hiyo karatasi, hivi kwa nini tusimuone shujaa?
 
Esther ameonyesha kile alichomaanisha alipochangia hoja, ni kuwa na msimamo kwa kiale alichosema. Mungu amsaidi katika hilo.
 
Back
Top Bottom