Mbunge wa CCM, Esta Bulaya, Afanya Tukio la Kishujaa Mjini Dodoma!

Na mbona wengine comment zetu mnazitoa au zinawagusa mm niliandika mh.Esta Bulaya alitamka bungeni kuwa mh.Maige hana sifa ya kuwa waziri.
 
Sijui Pasco anataka kutuhabarisha nini kuhusu huyu binti lakini binafsi hadi sasa sijaelewa Ester Bulaya aliingiaje bungeni? Ukisikiliza michango yake bungeni ni bure kabisa, amekazania kusema 'vijana wamenituma' sijui ni vijana gani waliomtuma huyu binti? na sina hakika anaelewa katumwa nini?

Kwenye campaign za chaguzi ndogo amekuwa kwenye matukio tata na niliwahi kumfananisha na 'black widow'. Sasa hivi anachokifanya ni kujaribu kudandia hoja za CHADEMA kwa kisingizio kuwa 'vijana wamemtuma'. Week iliyopita nilimsikia anaongea kwa ukali sana bungeni kwamba 'wazee wanakula bila kujali vijana'

Lakini niseme mtu yoyote aliye CCM hawezi kusimama na kusema anawatetea watanzania wanyonge! Hakuna. Filikunjombe, Kessy na hata huyu binti Bulaya wanatakiwa waamue, ama wabaki CCM au waungane na watanzania upande wa pili. Kinachowafanya wabaki CCM (tafsiri yangu) ni kwamba wanavutiwa na utendaji wake, na wanafaidi na mfumo mzima wa chama cha mapinduzi. Na kama ni kinyume basi watoke!
 
Waliosaini ni wawili tu, kama ni ile hoja walioongea bungeni yeye na mr sin, nadhani walijisahau tu wakafikiri wako kwenye kikao cha ndani hivyo walikuwa wanaambiana wakati wa kula wafute mdomo ili wakitoka nje wasijulikane kuwa wamekula, lakini kwa bahati baya akawa amezungumzia hadharani na ikawekwe kwenye hansadi.
 
Pasco
Mkuu najua Subira huvuta heri.., ila huo utafiti haujaisha sababu giza limeshaingia.., na kama utafiti umeonyesha habari sio ya kweli ni vema ukarudi kutwambia pia.
 
Last edited by a moderator:
Lakini niseme mtu yoyote aliye CCM hawezi kusimama na kusema anawatetea watanzania wanyonge! Hakuna. Filikunjombe, Kessy na hata huyu binti Bulaya wanatakiwa waamue, ama wabaki CCM au waungane na watanzania upande wa pili. Kinachowafanya wabaki CCM (tafsiri yangu) ni kwamba wanavutiwa na utendaji wake, na wanafaidi na mfumo mzima wa chama cha mapinduzi. Na kama ni kinyume basi watoke!

Mkuu, hawa wote wanatamani wangehamia CDM kwa sababu future yao kisiasa haiko vizuri wakiwa CCM.Tatizo kubwa hawa waheshimiwa wana mikopo mikubwa.Wakihamia leo CDM manake hawana ubunge.Watalipa vipi hiyo mikopo?
 
Wanabodi,

Katika pita pita yangu viunga fulani hapa mjini Dodoma, nimepita mahali nikukata baadhi ya watu na heshima zao, wakimsifu huyu mbunge kijana wa CCM, Mhe, Esta Bulaya, kuwa amefanya tukio la ushajaa mkubwa katika medani za siasa.

Kwa jinsi nilivyosikia kuhusu alichokifanya mbunge huyu, naomba nikiache kwanza kama tetesi, na nikisha thibitisha, nitarejea kuwapatia ushujaa huo wa Mhe. Esta Bulaya!.

Kwa kusaidia tuu, ni kuwa mbunge huyu, amefanya kitendo fulani cha kishujaa kwa kuweka mbele maslahi ya taifa ambapo amesimama kuhesabiwa miongini mwa wabunge wachache wa CCM wenye uchungu wa ukweli na umasikini wa nchi hii, kinyume cha wengi wa wabunge wa CCM ambao wameingia bungeni kwa drive ya njaa zao kutafuta maslahi binafsi badala ya maslahi ya taifa, hivyo wanachosimamia mule bungeni, ni matumbo yao tuu!.

Natafuta uthibitisho wa huo ushujaa wa Mhe. Esta Bulaya, ili tuliingize rasmi jina lake miongoni mwa mashujaa wa taifa hili!.

Tuvute subira kidogo!.

Wasalaam.

Pasco.

Dodoma!.

Kabla ya huo ushujaa, Mhe. Ester Bulaya aliripotiwa hivi humu jf

[h=2]"Re: Godfrey Zambi na Ester Bulaya bungeni waitabiria CCM yao kuanguka mwaka 2015"[/h]
Update 1.
Hatimaye ninepata uthibitisho wa kitendo hicho cha kishujaa cha Mbunge wa CCM, Mhe. Ester Bulaya!.

Licha ya kupata uthibitisho huo, bado kitendo chenyewe sikitaji kwanza mpaka nitakapo pata go ahead ya relevant authorities!.

Sababu pekee ya kuleta hii thread ni kuwajulisha tuu kuwa pamoja na ukweli kuwa CCM imeoza kwa rushwa na ufusadi na wanaitafuna nchi hii kama mchwa, tena wanaiba waziwazi mchana kweupe kama shamba la bibi, ndani ya hao hao mijizi na mifisadi ya CCM, kuna vijana wachache wazuri ambao sio mafisadi na wako tayari kusimama kuhesabiwa!.

Wengi wa wabunge wa CCM wameingia bungeni sio ili kuwatumikia wananchi, bali kujineenesha wao na matumbo yao hivyo mule mjengoni wao wako kutetea maslahi yao!, lakini miongoni mwao, wamo wachache walioingia mle kutetea maslahi ya taifa na Mhe. Ester Bulaya yuu mmoja wao!.

Nitamalizia hivi punde na kitendo chenyewe cha ushujaa wa mbunge huyu!.

Kwa wale wenye mcheche sana, samahani sana endeleeni kuvuta subra!. Good things hazihitaji haraka wala papara!.

Sababu ya kupost kabla ya uthibitisho ni kuhakikisha wewe kama mwana jf, be the first to know!.

Mfano news za Nundu kwenye TV zote leo na kwenye magazeti yote ya kesho, is not news anymore kwa sababu jf tumejua kila kitu tangu mchana!

Asanteni tuhifunze zaidi "managing divesity"

Pasco!.
 
Update 1.
Nitamalizia hivi punde na kitendo chenyewe cha ushujaa wa mbunge huyu!.

Pasco!.
Pasco
Mkuu unaweza ukatwambia how long is Punde.., masaa, siku, wiki, au miezi...

Thanks in advance, gladly awaiting,

By the way kama anajiuzuru ubunge au kuhama Chama naweza kuanza kumuona yupo serious kwenye haya mapambano
 
Mkuu fanya hima.., Ngoja Ngoja Huumiza Matumbo..,

Usije ukatoa news ikishakuwa yesterday's news...
 
Confirmed,

Mhe. Ester Bulaya ndie mbunge mwanamke kijana na shujaa wa CCM aliyesaini petition ya Mhe. Zitto kupiga kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu.

Wabunge kutoka CCM jumla ni 6 wakiongozwa na shujaa Mhe. Deo Filikunjombe. Jee kwa nini Ester ndio anayestahili pongezi mpaka kumuita shujaa!.

Kati ya wote waliosaini, wengine wote ni wabunge wa majimbo isipokuwa Ester yeye ni mbunge wa hisani wa CCM!. Kitendo cha kutoogopa hisani na kusimama kuhesabiwa ni kitendo cha ushujaa wa hali ya juu!.

Wenzake wote waliosaini ni watu wenye shughuli zao nyingine, ubunge kwao ni utumishi tuu kwa wananchi, hivyo kwao lolote liwalo, if anything happens to them in CCM, they have nothing to loose and everthing to gain from CCM, lakini kwa Ester kwake CCM ndio baba CCM ndio mama, if anything happens to Ester huko CCM, she has everthing to loose and nothing to gain from CCM!.

She has the guts to say no nonse!. Kuna wabunge wengi wa CCM akiwemo January ambao tuliwaona kama mashujaa, kitendo cha kutomuunga mkono Zitto ni uthibitisho tuu kuwa they are barking dogs only, seldom bite!. They don't have the guts to say no to nonsense!.

Nawaombeni wanabodi wenzangu, mhesabuni Mhe. Ester Bulaya miongoni mwa mashujaa 76 wa taifa kwenye orodha ya Zitto na jina lake liingizwe kwenye list ya mashujaa ambao mwaka 2015 wata team up na timu ya ushindi kuelekea kwenye ukombozi wa pili wa taifa letu!.

Kwa wale ambao mtatofautiana na mimi kwenye dhana ya ushujaa, naheshimu mitazamo yenu.

Hongera sana Mhe. Ester Bulaya, CCM watakunyanyapaa, CCM watakutenga, Watanzania watasimama na wewe, na Mungu atakutangulia kunyoosha mapito yako!.

Ubarikiwe Sana!.

Pasco.
 
Duh Mkuu :doh:.., Hii dhana ya kuwaita watu mashujaa kwa kufanya kazi zao sijui unatoka wapi..
Mkuu this is the least they can do kama Wabunge, alafu tunajuaje kama huu sio mwanzo wa kujisafishia njia ili agombee ubunge came 2015.., tunajuaje kama sio campaign ndio imeanza

Very dissapointed na hii hulka ya watanzania kupongezana bila sababu.., very very dissapointed
 
Confirmed,

Mhe. Ester Bulaya ndie mbunge mwanamke kijana na shujaa wa CCM aliyesaini petition ya Mhe. Zitto kupiga kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu.

Wabunge kutoka CCM jumla ni 6 wakiongozwa na shujaa Mhe. Deo Filikunjombe. Jee kwa nini Ester ndio anayestahili pongezi mpaka kumuita shujaa!.

Kati ya wote waliosaini, wengine wote ni wabunge wa majimbo isipokuwa Ester yeye ni mbunge wa hisani wa CCM!. Kitendo cha kutoogopa hisani na kusimama kuhesabiwa ni kitendo cha ushujaa wa hali ya juu!.

Wenzake wote waliosaini ni watu wenye shughuli zao nyingine, ubunge kwao ni utumishi tuu kwa wananchi, hivyo kwao lolote liwalo, if anything happens to them in CCM, they have nothing to loose and everthing to gain from CCM, lakini kwa Ester kwake CCM ndio baba CCM ndio mama, if anything happens to Ester huko CCM, she has everthing to loose and nothing to gain from CCM!.

She has the guts to say no nonse!. Kuna wabunge wengi wa CCM akiwemo January ambao tuliwaona kama mashujaa, kitendo cha kutomuunga mkono Zitto ni uthibitisho tuu kuwa they are barking dogs only, seldom bite!. They don't have the guts to say no to nonsense!.

Nawaombeni wanabodi wenzangu, mhesabuni Mhe. Ester Bulaya miongoni mwa mashujaa 76 wa taifa kwenye orodha ya Zitto na jina lake liingizwe kwenye list ya mashujaa ambao mwaka 2015 wata team up na timu ya ushindi kuelekea kwenye ukombozi wa pili wa taifa letu!.

Kwa wale ambao mtatofautiana na mimi kwenye dhana ya ushujaa, naheshimu mitazamo yenu.

Hongera sana Mhe. Ester Bulaya, CCM watakunyanyapaa, CCM watakutenga, Watanzania watasimama na wewe, na Mungu atakutangulia kunyoosha mapito yako!.

Ubarikiwe Sana!.

Pasco.

Ester Bulaya ana uhusiano wa karibu na Halima Mdee, huenda ameshaanza kuambukizwa akili ya mabadiliko maana peke yake na kwa akili yake Ester HAWEZI! Time will tell
 
Aksante mkuu. Hata hivyo usiwe unawarusha roho watu namna hii, wengine tulishaanza kufikiri labda ka-cross!
 
Back
Top Bottom