sosoliso
Platinum Member
- May 6, 2009
- 8,543
- 9,479
mkuu huyu mbona alishatemwa muda mrefu kabakia na ubunge ambao hata hivyo hatapata tena nafas ya kurud bungeni
Mkuu kweli mie siwajui hawa mawaziri wetu lol.. Nilidhani bado alikuwapo hapo.. Nashukuru kwa kunisahihisha.. Kwa hiyo inawezekana anakumbuka alivyopigwa jungu wakati huo..