Mbunge wa CCM Cyril Chami aichana CCM

Mbunge wa CCM Cyril Chami aichana CCM

Ni mawazo mazuri, lakini badala ya kuyasema mjengoni anayaandika kwenye face book, kweli mibunge mingi ya ccm ni majanga matupu!
 
Watu wengne wanaakili Kama zimwigili ,,,,,.na asili ya uchafu uchafu,,eti anatema mate bungeni jamaa lichafu sana
 
Unatema mate bungeni lile cjui Kama anaoga mchafuuu yan mate bungeni mmmmmh
 
Acha kuwaza na kupiga kelele juu ya uzinzi wa watu. Kila mtu ni mzinzi tu. Viongozi wa serikali wote ni wazinzi na wengi wao mabasha, hizo kelele na mbwembwe kampigie Mwigulu. Hata watoto wa mitaani ni zao la uzinzi wa ccm, Nape anajua hilo, pengine na wewe ni zao hilo. Wananchi wote ni wazinzi na hatutaki kujadili hilo. Povu lako ni bure tu, kwa hiyo tafuta kuboresha maisha yako. Kwa nini maisha bora kwa kila Mtanzania hayakupatikana? Sababu ni uzinzi tu!!!!

utakuwa JOYCE MUKYA au JOSEPHINE MUSHUMBUSI
 
Naweza kuongea kuhusu "collective responsibility" na kwamba matatizo ya chama yatatuliwe katika vikao vya chama, sitataka kuongelea hili, si kwa sababu silijui, ila kwa sababu sitaki kutokana na uzito ulivyoelemea katika mizani kwa mujibu wangu.

Naweza kuongelea kauli ya Cleopa David Msuya, kwamba kama wewe ni mkatoliki huwezi kuwa mpinga papa, na kama wewe ni mpinga papa si mkatoliki, anzisha kanisa lako, kwa maana ya kwamba wanaoona mabaya CCM wana haki ya kujitoa, lakini sitaki kusema hili, kwa maana najua umuhimu wa uhuru wa kujieleza ili hata miongoni mwa CCM tujue wepi wanapenda kipi.

Baada ya kusema hayo, nataka niiunge mkono kauli hii. Ingawa mara zote kauli za wanasiasa zinakuwa hazipai juu ya shuku ya kutolewa kisiasa.

Ni vizuri kwamba kauli hii imetolewa - hata ikiwa ni kisiasa tu. Na hili halimaanishi kwamba Cyril Chami ni msafi sana. Hasha. Ila, tukijikita katika kauli hii (tuongelee hoja, si mtoa hoja) inalenga kukemea kile ambacho kimenifedhehesha kwa muda sasa. Habari nzima ya kuona wabunge, watu waliopewa heshima na taadhima ya dhamana ya kuongoza watu, wanaishia kutumia muda wa bunge tukufu kutupiana vijembe ambavyo vingine viko chini hata ya viwango vya mipasho ya taarabu za Ilala Bungoni.

Nilifedheheka kwa sababu si tu viongozi wetu wanaonekana kuzidi kujikita katika tabia hii, bali pia kwa sababu hakuna hata mmoja aliyekemea vilivyo na bila kumung'unya maneno.

Hatimaye tumepata mtu amesema hili.

Natumai kwa kuanzia, "first class economist" Mwigulu atakuwa amesikia.
 
Kaskazini FOR Kaskazini, kuweni makini sana na hawa watu wa kaskazini, naona anamtetea shemeji yake
 
Cyril Chami

"Wabunge wengi wa chama changu -Chama cha Mapinduzi wanashindwa kujadili mambo ya msingi yenye msaada kwa Watanzania waliowachagua na badala yake imekuwa 'Kulipuana' 'Kuvaana' na 'Kupigana vijembe'. Haya hayana maana sana kwa sasa.. Lenye maana ni TUNATEKELEZAJE ILANI YA CCM YA 2010-2015?

Kama huna la kusema i think it's better to remain silence."

#Ni ushauri tu



source Facebook page yake

CC: @Mwigulu @Nchemba
 
Kulipuana lazima, huwezi kujiita mkristo wa KKKT then ukaanza kutembea na kisha kuzaa na mke asiye mke wako, pili huwezi kuwa KUB then ukatumia madaraka yako kufanya UZINZI dubai tena kwa fedha za UMMA.

Too personal haina mchango kwa taifa. Labda kama umeanzisha bendi ya taarabu. Pole sana.
 
Anakumbuka Shuka wakati kumekucha,asubiri adhabu ya Wapiga kura wake wa Moshi Vijijini na nina mashaka makubwa kama atapita kwenye kura za Maoni huko Ugambani. Naona anakumbuka fitna na majungu plus mizengwe aliyopigwa yeye na Ikelege kuhusu issue ya TBS
 
Cyril Chami

"Wabunge wengi wa chama changu -Chama cha Mapinduzi wanashindwa kujadili mambo ya msingi yenye msaada kwa Watanzania waliowachagua na badala yake imekuwa 'Kulipuana' 'Kuvaana' na 'Kupigana vijembe'. Haya hayana maana sana kwa sasa.. Lenye maana ni TUNATEKELEZAJE ILANI YA CCM YA 2010-2015?

Kama huna la kusema i think it's better to remain silence."

#Ni ushauri tu



source Facebook page yake

"Silent"
 
Kaskazini FOR Kaskazini, kuweni makini sana na hawa watu wa kaskazini, naona anamtetea shemeji yake

Vipi Sista Magdalena Bikra yako imepunyuliwa nini,mbona unaweweseka namna hii kama unataka taga?au ile dhambi ya ubaguzi imeanza kuwarudi?sikuwa najua huko Magambani pia kuna Wachagga/watu wa Kaskazini.
 
Hee...kumbe kuna watu bado wanaona....nilifikiri wabunge wote mmepofuka. Yaani hamuoni hata kama maji hayapatikani kwenye viunga tushivyo...mmebaki 'kulipua' na 'kuvaa'.....aunguruma...halafu ona hicho anachoungurumia...ovyooo....

Haaahaaaahaaaa
 
Kuna kauli ya mwalimu naipenda sana UKIZOEA KULA NYAMA YA MTU HUTAACHA! Sisi tunasubiri tu as we know aliyenja nyama ya mtu anafanywaje?
 
Back
Top Bottom