Mbunge wa Arumeru Mashariki Mhe. Nassari Joshua akamatwa na Polisi na kuachiwa kwa masharti

Kwani wewe hukusikia kwamba Nasari alipigwa Monduli akalazawa hospitali? Sasa kosa lake yeye ni kupigwa? Murji wa Mtwara kashitakiwa kwa sababu ya kupinga ufisadi wa gesi unategemea magamba wamuache?
kwa hiyo hautaki kuamini kwamba nassari anaweza kumdhuru mtu kama alivyo funguliwa mashtaka?? kwani alivyopigwa alichukua hatua gani?? alifungua kesi polisi? au aliishia kusema sema ovyo kutafuta umaarufu tu?? i expected and still i am expecting something of reasonable approach from a person like you who have been here much longer than me to snap amd understand the game!!!
 
Yupo chini ya ulinzi kwa kuwashambulia watu asiowafahamu...................... kweli ccm choka mbaya..

Mkuu Mungi hasira yao kuu ni kukosa kura Arusha.Wanapoteza muda wao
 
Last edited by a moderator:
Ashakum si matusi....ccm ni wapumbavu,hivi wanadhani wataendelea kutawala milele.Samahan wanajamvi...nimeshindwa kujizuia
 
Mbunge wa Arumeru Mashariki Mhe. Nasari S. Joshua amekamatwa na Polisi.

Ni baada ya kupigiwa simu na Issaya Mngulu kuwa anahitajita Polisi na alipofika akaambiwa na RCO kuwa yuko 'under arrest' kwa tuhuma za kushambulia watu huko Monduli na hajaambiwa ni watu gani aliowashambulia...

Nawasilisha...

duh ndio mana siku hizi majambazi yanatamba sana na kuua watu hadharani kwa kuwa polisi wako bize na chadema tu
 
kwa hiyo hautaki kuamini kwamba nassari anaweza kumdhuru mtu kama alivyo funguliwa mashtaka?? kwani alivyopigwa alichukua hatua gani?? alifungua kesi polisi? au aliishia kusema sema ovyo kutafuta umaarufu tu?? i expected and still i am expecting something of reasonable approach from a person like you who have been here much longer than me to snap amd understand the game!!!

Nenda kachukue buku saba yako Lumumba.
 
Mbunge wa Arumeru Mashariki Mhe. Nasari S. Joshua amekamatwa na Polisi.

Ni baada ya kupigiwa simu na Issaya Mngulu kuwa anahitajita Polisi na alipofika akaambiwa na RCO kuwa yuko 'under arrest' kwa tuhuma za kushambulia watu huko Monduli na hajaambiwa ni watu gani aliowashambulia...

Nawasilisha...

Hawa polisi wanafanya kazi kwa maigizo???
 
Hamjawajua CCM bado?Wanataka kuhamishia attention ya Watanzania kuhusiana na mjadala wa jana Arusha!Hakuna kesi kule ila wanafanya hivyo makusudi kuwasahaulisha Watanzania kutokana na aibu ya jana.Wapuuzeni tusiingie katika mtego wao.
Mkuu TECH WIZ jana kulikuwa na mjadala wa nini?
 
Last edited by a moderator:
Mbunge wa Arumeru Mashariki Mhe. Nasari S. Joshua amekamatwa na Polisi.

Ni baada ya kupigiwa simu na Issaya Mngulu kuwa anahitajita Polisi na alipofika akaambiwa na RCO kuwa yuko 'under arrest' kwa tuhuma za kushambulia watu huko Monduli na hajaambiwa ni watu gani aliowashambulia...

Nawasilisha...
Alikuwa na Silaha gani mpaka akashambulia watu huko Monduli? ni watu gani walioshambuliwa na Nassari na kama walienda kushtaki? Ama kweli kila kukicha kuna mambo
 
Mkuu Mungi hasira yao kuu ni kukosa kura Arusha.Wanapoteza muda wao

Ni kweli Mkuu.............. lakini mbaya zaidi hawa ccm ambao pia jeshi letu la polisi limeingia kwenye mkumbo huo, ni kama wamevuliwa ufahamu au wameamua kujivua ufahamu wenyewe, wakidhani kila wanachoamua kukifanya kinawajenga.

CCM wanawatumia polisi wetu kuwakamata viongozi wa CHADEMA kama sehemu ya kampeni ya kata ya Sombetini.
Wameongeza hasira za wapiga kura mara mbili zaidi!!!!
 
Amesha achiwa wakuu nimemwona hapa sanawari mda huu wa saa sita kasoro anatoka maeeneo ya polisi anaelekea usa river
 
Mwisho wa ccm nauna unakuja kwa kasi isiyo ya kawaida. Wanategemea polisi ndo wajenge chama
 
CCM wamepoteza mwelekeo kabisa, sasa wanatumia Polisi kama kinga ya kuwazuia wasianguke!
Poor CCM. Wanaongozwa kwa fikra za Mwigulu Nchemba.
 
Last edited by a moderator:
Wana monduli walioshuhudia magreen guard wa kisomali wakimpiga mbunge wa wenzao wameru waungane na sisi watanzania wenzao kuzikabidhi kadi za ccm polisi hili kuungana kuipoteza ccm ktk ramani ya vyama vya wanadamu,ibaki pekee kama Chama Cha Mashetani(C.C.M) maana nimeona hata baba v.leo kawasaliti kina HAMY-D wa lumumba fc kwa ku comment kama mwanadamu.
 
Nenda kachukue buku saba yako Lumumba.

ha ha ha !! i was seeing this coming .. so no wonder whatever you say will have nothing to do with me!

just head up and lights up too... with such disgusting posts ndomaana unafikisha post 8891.. for what??
 
Back
Top Bottom