mbunge wa arumeru kusajiriwa na yanga

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
Baada ya kuonyesha kiwango cha juu kabisa katika kusakata soka mbunge mtogo kabisa kupitia chama cha demokrasia na maendeleo mh Joshua Nasari, klabu ya yanga imeanza mazungumzo na nyota huyo machachali lengo ni kuhakikisha wanalipa zile goli tano kwani mipango yao ya kumsajiri Okwi imekwama..
 
Mheshimiwa mbunge ni Simba damu sasa itakuwaje siku wakipigwa mkono tena hawamtuhumu?
 
Baada ya kuonyesha kiwango cha juu kabisa katika kusakata soka mbunge mtogo kabisa kupitia chama cha demokrasia na maendeleo mh Joshua Nasari, klabu ya yanga imeanza mazungumzo na nyota huyo machachali lengo ni kuhakikisha wanalipa zile goli tano kwani mipango yao ya kumsajiri Okwi imekwama..

Hapo kwenye nyekundu naomba msaada wako mkuu.
 
...Lakini huyo bi kidude hujasikia ana gundu ! Ukionja tunda tu unakuwa chizi....... uliza kule njombe au hapo bungeni waliopita. Kuna wabunge magamba wanasema hata kulipwa mamilioni hawakubali mambo ya lolipop :)
 
Kweli soka la bongo linamajabu yake penat3 goli2 afu ndani ya wiki unenda pigwa 12 na wasudani
 
Baada ya kuonyesha kiwango cha juu kabisa katika kusakata soka mbunge mtogo kabisa kupitia chama cha demokrasia na maendeleo mh Joshua Nasari, klabu ya yanga imeanza mazungumzo na nyota huyo machachali lengo ni kuhakikisha wanalipa zile goli tano kwani mipango yao ya kumsajiri Okwi imekwama..

Haahaaa hapo *MTOGO* mkuu wewe wa kwetu Butiama? Haahaaaaa Nasari Ni Simba damu, je Yanga wapo tayari kusajiri mamruki?
 
Haya muheshismiwa sijui atakuja na VX wamuonee wivu maaana hawa wazee wa timu zetu hadi wenyewe wanajiendea kwa macheni wakidai kwa wazee
 
Crashwise habari hii inaukweli????

Baada ya kuonyesha kiwango cha juu kabisa katika kusakata soka mbunge mtogo kabisa kupitia chama cha demokrasia na maendeleo mh Joshua Nasari, klabu ya yanga imeanza mazungumzo na nyota huyo machachali lengo ni kuhakikisha wanalipa zile goli tano kwani mipango yao ya kumsajiri Okwi imekwama..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom