Mbunge viti maalum Jamii Forum anatakiwa haraka

Mbunge viti maalum Jamii Forum anatakiwa haraka

Mhhhhhhhhh! Tusiwe bendera fata upepo ILA VIWEKWE VIGEZO ILI MSHINDI APAIKANE KWA HAKI!!!!!!!

1. Awe amaeanzisha THREAD ZAKE MWENYEWE nyingi au hata KIASI tu na zika HIT often!!!!!!!!(SINA MPINZANI KIPENGELE HIKI hata Dada Asha mwaka huu hujanikuta. LOL!)

2. New member aliyeingia na kuvumaaa ndani ya mda mfupi. (Nampa Heaven on Earth kwa mwaka huu! Kajitahidi!)

3. Michango ya Kujenga na kuendeleza mwaka mzimaa nampa gfsonwin, Kaunga, kingasti, Snow White, Mamdenyi, Kongosho

4. Outstanding Contibutions zilizopata like sanaaa, na kuwaacha watu kinywa wazi na zlikuwa unpredictable n uncalled for hapo ni Lara 1.

5.Life time achievement kwa michago TIMELESS MMU ni ASHA Dii. (Michango yako ina surpass time factor hata mada ya mwaka juzi ukiisma inanoga sio mada Big G)

6.Major come back of a dormant member mwaka huu faiza Foxy katishaaa, karudi na moto uleule aliiondokaga nao.
 
Last edited by a moderator:

mmmh wapo wengi ila
mi ngoja nicheze ana ana dooo
thn nije na jina hapa la nani anafaa!!
 
subirini kwanza tuvunje baraza la mawaziri!



msiwe na haraka wadau!
 
Tukiambiwa tupendekeze mbunge mwanamke viti maalun humu jamii forum utampendekeza nani?

Tuchukulie ndio tumepewa nafasi na mh. Rais


gfsonwini AshaDii lara 1 Kaunga King'asti MadameX
Madame B Menthor madame A Kongosho
mimi49 Heaven on Earth Smile Nazjaz charminglady
Passion Lady Lady doctor mdida DEMBA sister
Jawilat Ablessed
watu8 The Boss Mshinga
Himidini Mashaxizo nanjilinji
Eiyer Broken soul pinno tpaul etc
Ngoja nifikirie , je hasa awe na vigezo gani ili iturahisie kupendekeza jina
 
Tukiambiwa tupendekeze mbunge mwanamke viti maalun humu jamii forum utampendekeza nani?

Tuchukulie ndio tumepewa nafasi na mh. Rais


gfsonwini AshaDii lara 1 Kaunga King'asti MadameX
Madame B Menthor madame A Kongosho
mimi49 Heaven on Earth Smile Nazjaz charminglady
Passion Lady Lady doctor mdida DEMBA sister
Jawilat Ablessed
watu8 The Boss Mshinga
Himidini Mashaxizo nanjilinji
Eiyer Broken soul pinno tpaul etc

Kuna watu umewataja hapa siku zote nilijua ni wanaume....
 
Last edited by a moderator:
Mimi yangu imwendee Lara 1 kwani ni mzuri wa argument, msomi "aliyebobea" MBA holder now anapambana na PhD uko ulaya...tatizo lake ni Pesa tu...maana yeye kila kitu ni pesa mezani

Lara 1 atatuuza wote

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom