Mbunge: Tukishaamua kwenye Kikao cha Wabunge wa CCM ndio tumemaliza Bungeni ni procedure tu hata Mpina asingepinga!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,131
Mbunge wa CCM ambaye hakutaka Jina lake litajwe amesema pale Bungeni likiletwa jambo muhimu ni lazima Wabunge wa CCM tukutane na kujadiliana hadi kufikia mwafaka wa pamoja

Tunaporudi bungeni inakuwa ni kukamilisha Utaratibu tu

Mbunge huyo amesema usidanganyike na kelele za Wabunge wetu mule bungeni mengi huwa ni maigizo tu

Mlale unono!
 
Huyo mbunge ni mwongo.

Nitaeleza: Kama wabunge wa CCM hukutana na kujadili jambo muhimu na kutoa msimamo wao kama wabunge, atueleze jambo lolote walilowahi kujadili wabunge na baada ya majadiliano hayo wakatoka na azimio ambalo ni tofauti na maelekezo waliyopewa na serikali?

Au aeleze tu kama kuna jambo hata moja ambalo wabunge walilijadili na wakatoka na msimamo kinzani na ule wa serikali; kwamba ikalazimu serikali ikarekebishe kulingana na mapendekezo waliyoyatoa wabunge?

Lakini uzuri wa haya yote yanayotokea sasa hivi ni kuwa ni funzo kubwa kwa wananchi kuhusu hizi takataka wanazopeleka Bungeni kuwawakilisha.
Baada ya funzo lililo wazi kama hili, wananchi watakuwa macho zaidi siku za mbeleni kupeleka Bungeni watu wanaowakilisha sawasawa matakwa ya wananchi.
 
Mkuu una hoja za msingi sana, lakini bahati mbaya kwa kadiri wananchi wwnavyodhidi kuwa na uelewa, ndio wanavyopelekewa wabunge bungeni bila ridhaa yao. Mfano mrahihisi hilo bunge la sasa sio taswira ya matakwa ya wananchi.
 
Mkuu 'Tindo', sikulisahau hilo la wabunge feki. Ninalitambua vyema kabisa.

Binafsi, nimekwishatoka kwenye enzi hizo za ujima, mawazo yangu yapo kwenye leo na kesho ya Tanzania hii. Kamwe sitegemei tena kwa njia yoyote ile tukirudishwa tena kwenye hali hiyo aliyotufikisha Magufuli na CCM yake. Sitegemei kabisa, hata kama CCM wangetumia hila zote walizozoea kuzitumia. Hiyo hatua tumekwishaipita, hairudi tena.

Atakayetaka kulazimisha hayo, kiongozi huyo halitakii mema taifa hili. Najua Samia kama Samia hana uwezo wa kufanya kama alivyofanya Magufuli.

Sana sana Samia atategemea njia za kiujanjaujanja, kama anavyofanya sasa na swala la Katiba Mpya; lakini wananchi hatmaye wamezitambua njia zake kungali mapema. Akilazimisha na kutaka kutumia nguvu ya Dola, ataleta machafuko kwa mara ya kwanza kabisa katika nchi hii. Hata hao wanaomhimiza afanye hivyo hawana nguvu za kumkingia kifua akiboronga kuhusu jambo hili.

Kwa hiyo, Bunge na uongozi ninaouona mimi, tokea sasa kwenda mbele, ni uongozi ambao unaitegemea CCM kuendeleza uchafu wake wa siku zilizopita.

Hii ndiyo dira ninayoiona Tanzania Mpya ikiisogelea kwa kasi.
 
Mbunge wa CCM ambaye hakutaka Jina lake litajwe amesema pale Bungeni likiletwa jambo muhimu ni lazima Wabunge wa CCM tukutane na kujadiliana hadi kufikia mwafaka wa pamoja

Tunaporudi bungeni inakuwa ni kukamilisha Utaratibu tu

Mbunge huyo amesema usidanganyike na kelele za Wabunge wetu mule bungeni mengi huwa ni maigizo tu

Mlale unono!
Umenikumbusha enzi hizo nipo MFA tuliambatana na mzee Ben kwenye caucus ya chama baada ya kusikia wabunge hawaitaki Net group solutions...

Mzee Mkapa aliwakumbusha wabunge kuwa japo wanasema wanayajua mabomu yake ila yeye anayajua yao mengi sana na mwisho wakumbuke bado yeye ni mwenyekiti wa CCM hivyo atakamata pepeto la mwisho katika kupitishwa kugombea baada ya hapo kila mmoja alinywea.

Hapo ndo utaelewa mawazo,akili na misimamo ya waafrika ipo connected na utumbo.
 
Huyo mbunge yuko sahihi.... maamuzi mengi hufanyika kwenye vikao vya ccm. wakirudi bingeni ni kuhitimisha na kutupotezea muda tu....
 
Mbunge wa CCM ambaye hakutaka Jina lake litajwe amesema pale Bungeni likiletwa jambo muhimu ni lazima Wabunge wa CCM tukutane na kujadiliana hadi kufikia mwafaka wa pamoja

Tunaporudi bungeni inakuwa ni kukamilisha Utaratibu tu

Mbunge huyo amesema usidanganyike na kelele za Wabunge wetu mule bungeni mengi huwa ni maigizo tu
Huu ni ukweli mchungu, lakini ndio ukweli. CCM inapoamua kwa niaba ya Watanzania, kama ni jambo la kheri, CCM itabarikiwa, ila kama sio jambo la kheri, CCM italaaniwa!. Serikali ya CCM, Yapewa Onyo la "Mwanagutu"-" Siku Yake Ipo!, Utapogeuka Upepo, Wasije Kulia!.

Angalia angalizo hili lilitolewa lini, CCM wakafanya nini, halafu nini kikaja kutokea Ombi Maalum, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa 2020, Uendeshwe kwa Ceteris Peribus, Sio Kwa Mutatis Mutandis. Tutabarikiwa!

Uchaguzi wa wabunge wa EALA ni eneo jingine ambalo CCM haijawatendea haki Watanzania kwanza tuliwaomba Ubunge EALA, Wito Kwa CCM, Msiangalie Ukwasi, Tuteulieni, Wazalendo wa Kweli wa Taifa Hili, Wenye Uwezo na Uzoefu wa Kimataifa Kutuwakilisha Ipasavyo kilichokuja kufanyika Lijue Bunge la Afrika Mashariki na Jee Uchaguzi wa Wabunge wa CCM EALA Ulikuwa ni Uchaguzi Kweli Au Kiini Macho cha Uchaguzi?

P
 
Mbunge wa CCM ambaye hakutaka Jina lake litajwe amesema pale Bungeni likiletwa jambo muhimu ni lazima Wabunge wa CCM tukutane na kujadiliana hadi kufikia mwafaka wa pamoja

Tunaporudi bungeni inakuwa ni kukamilisha Utaratibu tu

Mbunge huyo amesema usidanganyike na kelele za Wabunge wetu mule bungeni mengi huwa ni maigizo tu

Mlale unono!
Anachosema ni kweli, party caucus ikishakubaliana na kwaujibu wa idadi yao Bungeni Hilo limeishaa!

Bora Mungu alisitisha uhai wa Magufuli, alituharibia mifumo ya utawala maana Bunge hili la sasa lingekuwa half half mafisiemu wangekiona Cha mtema Kuni!
 
Mbunge wa CCM ambaye hakutaka Jina lake litajwe amesema pale Bungeni likiletwa jambo muhimu ni lazima Wabunge wa CCM tukutane na kujadiliana hadi kufikia mwafaka wa pamoja

Tunaporudi bungeni inakuwa ni kukamilisha Utaratibu tu

Mbunge huyo amesema usidanganyike na kelele za Wabunge wetu mule bungeni mengi huwa ni maigizo tu

Mlale unono!
Huo ndiyo mimi nautambua kama unyumbu ambapo mtu mwenye akili zake timamu anaahirisha kufikiri kwasababu ya msimamo au malengo ya kundi fulani hata km Taifa litaangamia, au uoga. Herding behavior is an occurrence of thoughtful people suspending their reasoning because of group objective or fear in this case fearing of their leaders
 
Mbunge wa CCM ambaye hakutaka Jina lake litajwe amesema pale Bungeni likiletwa jambo muhimu ni lazima Wabunge wa CCM tukutane na kujadiliana hadi kufikia mwafaka wa pamoja

Tunaporudi bungeni inakuwa ni kukamilisha Utaratibu tu

Mbunge huyo amesema usidanganyike na kelele za Wabunge wetu mule bungeni mengi huwa ni maigizo tu

Mlale unono!
Ni jambo zuri maana huko wanapata fursa ya kuhoji Kwa uwazi na kupewa majibu.
 
Mbunge wa CCM ambaye hakutaka Jina lake litajwe amesema pale Bungeni likiletwa jambo muhimu ni lazima Wabunge wa CCM tukutane na kujadiliana hadi kufikia mwafaka wa pamoja

Tunaporudi bungeni inakuwa ni kukamilisha Utaratibu tu

Mbunge huyo amesema usidanganyike na kelele za Wabunge wetu mule bungeni mengi huwa ni maigizo tu

Mlale unono!
Jaman hii nchi
 
Inamaana wabunge hawaendi kuwakilisha wananchi, bali wanawakilisha ccm, inamaana wabunge wa ccm hawaendi kuisimamia serikali bali wanasaidia serikali ipitishe mambo yake hata ambayo sio sawa.mnijibu vizuri maswali yangu kwa nn nisipigie upinzani uchaguzi ujao?, Mm ni mwana ccm
 
Kweli kabisa
 
Huyo mbunge ni mwongo.

Nitaeleza: Kama wabunge wa CCM hukutana na kujadili jambo muhimu na kutoa msimamo wao kama wabunge, atueleze jambo lolote walilowahi kujadili wabunge na baada ya majadiliano hayo wakatoka na azimio ambalo ni tofauti na maelekezo waliyopewa na serikali?

Au aeleze tu kama kuna jambo hata moja ambalo wabunge walilijadili na wakatoka na msimamo kinzani na ule wa serikali; kwamba ikalazimu serikali ikarekebishe kulingana na mapendekezo waliyoyatoa wabunge?

Lakini uzuri wa haya yote yanayotokea sasa hivi ni kuwa ni funzo kubwa kwa wananchi kuhusu hizi takataka wanazopeleka Bungeni kuwawakilisha.
Baada ya funzo lililo wazi kama hili, wananchi watakuwa macho zaidi siku za mbeleni kupeleka Bungeni watu wanaowakilisha sawasawa matakwa ya wananchi.
Kama madiwani wetu wanafanya hivyo hapa wilayani... naamini pia kuwa wabunge wanafanya
 
Inamaana wabunge hawaendi kuwakilisha wananchi, bali wanawakilisha ccm, inamaana wabunge wa ccm hawaendi kuisimamia serikali bali wanasaidia serikali ipitishe mambo yake hata ambayo sio sawa.mnijibu vizuri maswali yangu kwa nn nisipigie upinzani uchaguzi ujao?, Mm ni mwana ccm
Kwani bunge hili linawakilisaha wananchi, je wanatokana na uchaguzi halali?
 
Back
Top Bottom