Mbunge Shigongo: Nimewasiliana na Rais ili aziangalie upya hizi Tozo za miamala ya simu

Unafiki na ubinafsi ni vitu vibaya sana.

Serikali ingeanza kwanza kupunguza mishahara yao na posho zao na kupunguza misafara ya viongozi.

Pia wabunge wote wangeanza kulipishwa kodi halafu ndio waje kwa Wananchi na hizo tozo zao HAKIKA wangeugwa mkono, sasa kulipa kodi wanaweka kipaumbele halafu wao wanajiweka nyuma.
 
Unafiki ni jambo baya sana kwa mwanadamu..niseme wazi,, nchi hii ni ngumu sana kuendelea kukiwa na wabunge wengi wa chama kimoja bungeni, walau ingekuwa nusu kwa nusu..
Jibu la matatizo liko hapa
 
Next Time jaribu kupinga na kukataa haya maamuzi kabla hayajafanyika, Yaani huko huko Bungeni, kwa uzembe mliofanya mmeliletea taifa hasara kubwa sana; Muda, Usumbufu na Kero
 
Awa jamaa wanakula Ela yetu bure kabisa Bora kuvunjilia mbali Bunge
Nadhani waongeze makali na zile pesa walizoomba kuongezewa lifanyike hivyo, ili wananchi akili zuturudie. Wametuona mazezeta kwa kilichofanyika October 2020 na tukawapokea waende kutuwakilisha bungeni, huo ndiyo uwakilishi wao. Kidumu chama cha mapinduzi.
 
Apeleke unafki huko.

Mpaka Bajeti inapitishwa, kwa nini hakusimama kuupinga huo mpango wa tozo?

Leo baada ya kuona reaction ya wananchi ndiyo anaanza kubwabwaja?
Wenyewe c walisema huwa mida fulani kwenye ishu nzito huwa wanalala wakishuka wanaitikia NDIOOOOOOOOOOO 99.99% bac sawa
 
Back
Top Bottom