t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 7,206
- 17,220
Uliwahi kupata kusikia kashfa za Tiot na kwa nini ilikufa hii kampuni?Shabiby anauzoefu wa mafuta, alikuwa mmoja wa wakurugenzi wa TIOT. Waliagiza mafuta na kuyasafirisha kwenda Congo na Zambia.
Uliwahi kupata kusikia kashfa za Tiot na kwa nini ilikufa hii kampuni?Shabiby anauzoefu wa mafuta, alikuwa mmoja wa wakurugenzi wa TIOT. Waliagiza mafuta na kuyasafirisha kwenda Congo na Zambia.
In short anataka kuhalalisha uharamia. Mjinga sana huyu mmanga kokoMafuta anayosema ni ya bei chee ni mafuta ya deal huko deep sea, ni kama vile uwe unatafuta simu ya kununua halafu nikwambie zipo za bei rahisi kinondoni kwa mateja ! Utanunua?
👏👏 kitaalamu inaitwa blood oil . the same na blood diamonds ya Sierra Leon.Hata kama mtaji ni wake , bw u tuangalie kwa maslahi mapana ya nchi na rqia wake ,
Haya mafuta hayana bei maalum, leo yana bei hii kesho bei nyingine ,hayana uhakika pia , somali pirates huwa wanzipeleka deep sea meli wanazonegitiate ransom, leo unaqweza kuta meli nyingi bei ikawa ndogo nq unaeza usikute meli pia .
Kuna hatari ya kununua mafuta haramu pia somali pirates huwa wanapeleka melinzaondeep sea wakati wananegotiate ransom, ipo siku meli itashusha mafuta ya wizi , na kuleta picha mbaya kwa Taifa. Jkishampa mfanya biashara mkubwa room ya kuwa flexible kwa kiasi hiki ni hatari sana
Fukara hanaga chaguo .Sisi ni Dola huru,hakuna wakutuchagulia Marafiki au Maadui!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Inasikitisha[emoji122][emoji122] kitaalamu inaitwa blood oil . the same na blood diamonds ya Sierra Leon.
Ziko nchi zenye nishati ya mafuta na kuna machafuko katika nchi hizo . yakajitokeza makundu ya kuasi serikali na kuanza kujichimbia rasilimali hizo . yanachimba hayo mafuta na kuyauza ili kununua siraha za kivita . sasa nchi inapotokea kuuziwa mafuta na waasi hawa kimataifa unaonekana kuunga mkono waasi .
Bila shaka uko sebuleni kwa shemeji yako ndiyo maana huna akili
Wenye uwezo wa kwenda huko deep-sea kununua Mafuta nao wapewe kibali, si kila Mtu atauuza kutokana na soko lake! Hiyo ndiyo maana ya Soko huru! Tuaache soko la mafuta lishindane lenyewe kuliko kuwapa watu wachache wajipangie bei wanavyotaka wao!!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Alishakubali kukaa nao na kuzungumzia yote hayo.Huyu jamaa kwenye hii nishati mafuta anajua mengi sababu kubwa ni kutokana pia ni mfanyabiashara wa muda mrefu kwenye mambo ya uchukuzi na anajua tokana na tafiti zake, ningependekeza rais au hata waziri Januari akae na wafanyabishara wa usafirishaji ili kupata mawazo mazuri
Unatetea ujingaAlishakubali kukaa nao na kuzungumzia yote hayo.
Alishakubali kama yapo mafuta ya bei chee waende wizarani wapewe tenda lkn wapo bungeni wakiwa na kilio kile kile.
Hawa walivurugwa sana vichwa na mwendazake.
Shida sio Makamba. Shida ni nafasi ya Makamba. Wamerithi chuki za magufuli
Sent from my TECNO-L8Plus using JamiiForums mobile app