Mbunge Shabiby amchana Waziri Makamba

Mbunge Shabiby amchana Waziri Makamba

Wenye uwezo wa kwenda huko deep-sea kununua Mafuta nao wapewe kibali, si kila Mtu atauuza kutokana na soko lake! Hiyo ndiyo maana ya Soko huru! Tuaache soko la mafuta lishindane lenyewe kuliko kuwapa watu wachache wajipangie bei wanavyotaka wao!!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Umenena vyema
 
Jana soko la dunia mafuta yamepanda Tena,baada ya ulaya kukubaliana kugonga vikwazo zaidi vya mafuta kwa urusi
 
Shabiby ukiona kasimama Bungeni basi anazungunzia Biashara ya Fuel or ushindani wa kibiashara na wachuuzi wa kichina

mengine sio kiviiiiile

kila binadam kwanza anajipigania baadae ndio anafikiria wengine
Huyu anataka kufanya biashara ya mafuta kwa nguvu
 
Biashara yoyote ile ni mtaji wako tu,sioni shida Kama mtaji anao afanye tu biashara ya Mafuta,mbona ma bus kaleta!!? Tumeshaamua kufunguwa Nchi basi kila sehemu pafunguliwe tusiwe na double standard kwenye baadhi ya vitu!!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Sasa mtaji si wake!? Hata akipoteza meli nzima atajua yeye na Bima yake wanalipana vp sisi tunachotaka kutoka kwake ni wese tu!!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Hata kama mtaji ni wake , bw u tuangalie kwa maslahi mapana ya nchi na rqia wake ,
Haya mafuta hayana bei maalum, leo yana bei hii kesho bei nyingine ,hayana uhakika pia , somali pirates huwa wanzipeleka deep sea meli wanazonegitiate ransom, leo unaqweza kuta meli nyingi bei ikawa ndogo nq unaeza usikute meli pia .
Kuna hatari ya kununua mafuta haramu pia somali pirates huwa wanapeleka melinzaondeep sea wakati wananegotiate ransom, ipo siku meli itashusha mafuta ya wizi , na kuleta picha mbaya kwa Taifa. Jkishampa mfanya biashara mkubwa room ya kuwa flexible kwa kiasi hiki ni hatari sana
 
Wwe na Muheshimiwa Shabby unadhani nani ana more info za huko deep-sea!?

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Shabiby akisimama huwa anaongea point.

Kwangu mimi ni mbunge namba one kwa ubora wake, anaongea point, haogopi, anatetea wananchi n.k. big up kwako shabiby, kwa hakika wana gairo mmepata jembe
 
Mbunge Shabiby wakati akichangia hoja kwenye mjadala wa wizara ya nishati amemchana waziri January Makamba kuwa ni mpya kwenye wizara hiyo hivyo hajui chochote namna wapiga dili wanavyochezea wizara hiyo hasa kwenye bei ya mafuta.

Kwenye mafuta kaongea ukweli kabisa.
Mimi sio mchumi ila ukiona vituo vingi vya mafuta vinajegwa ina maana bei ya mafuta inalipa.
 
Biashara yoyote ile ni mtaji wako tu,sioni shida Kama mtaji anao afanye tu biashara ya Mafuta,mbona ma bus kaleta!!? Tumeshaamua kufunguwa Nchi basi kila sehemu pafunguliwe tusiwe na double standard kwenye baadhi ya vitu!!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Sasa amekatazwa? Kama pesa anayo, kwanini anapambana sheria zibadilishwe ili aneemeke yeye na wajanja wenzake?
 
Matusi ya nn ,elezea mzigo unapandaje meli bila consgnee!
Meli sio fuso la nyanya kwamba upakie mzigo halafu usijue unashuka soko lipi, kuna kitu kinaitwa bill of lading, document inayo eleza mzigo unaopotoka , bandari ulipopakiliwa , mwenye mzigo na bandari unaposhuka.

Mheshimiwa sana anashauri tukanunue mafuta ambayo hata quality control yake si rahisi kuijua
Nothing is impossible bro
 
Huyu Shabiby ndio mwizi wa kwanza wa mafuta. Anatumia njama kwa kubadilisha mafuta yaliopo ontransit kwenda nje ya nchi kisha anayashusha kwenye vituo vyake kinyemelea bila kulipa kodi. Ukiona anaongea ujue kabinywa mahala.
Ushahidi tafadhali
 
Huyu mbunge inonekana anajua vitu vingi sana kuhusu mafuta ila kwasababu pale wizarani kuna waziri wa mchongo ndio sababu unaona yote haya
 
Tutakutana naye kwenye kura za maoni - kwani 2025 ni mbali sheikh ?

Na tumeshaweka sheria ukitimuliwa chama A na ukaamua kujiunga chama B basi hutaruhusiwa kugombea Urais, Ubunge na Udiwani pamoja na Mwenyekiti Serikali za mitaa hadi muda wa miaka 2 ndani ya chama chako kipya utakapokamilika.

Over !!
 
Matusi ya nn ,elezea mzigo unapandaje meli bila consgnee!
Meli sio fuso la nyanya kwamba upakie mzigo halafu usijue unashuka soko lipi, kuna kitu kinaitwa bill of lading, document inayo eleza mzigo unaopotoka , bandari ulipopakiliwa , mwenye mzigo na bandari unaposhuka.

Mheshimiwa sana anashauri tukanunue mafuta ambayo hata quality control yake si rahisi kuijua
Kiufupi Shabiby anataka tupigwe vikwazo, maana tutanunua mafuta ya Iran, Venezuela na Urusi
 
Huyu mbunge inonekana anajua vitu vingi sana kuhusu mafuta ila kwasababu pale wizarani kuna waziri wa mchongo ndio sababu unaona yote haya
Waziri wa mchongo ujuwe atakua pia kawekwa kimchongo,kwa hiyo usitegemee mabadilliko,ni mnyonge kukamuliwa tu hadi mwenye mchongo wake ashibe!!!

Back
Top Bottom