Mbunge Shabiby amchana Waziri Makamba

Mbunge Shabiby amchana Waziri Makamba

Kiufupi Shabiby anataka tupigwe vikwazo, maana tutanunua mafuta ya Iran, Venezuela na Urusi
Nice one !!
Got to have white hair and snowy beard to know this!
Watoto wanajua mafuta yanauzwa tu kama nyanya ilula
 
Sasa amekatazwa? Kama pesa anayo, kwanini anapambana sheria zibadilishwe ili aneemeke yeye na wajanja wenzake?
Watoto hawajui tu ni nini kilitokea hadi huo mfumo anaoulilia sbabiby leo ukasitishwa , ,kulikuwa na udanganyifu wa hali ya juu na mamlaka zilikuwa haziwezi kudhibiti udanganyifu huo
 
Wwe na Muheshimiwa Shabby unadhani nani ana more info za huko deep-sea!?

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Naweza nikawa najua mengi sana pengine kuliko yeye
Siku hizi information haziuzwi ni wewe tu kuji update ,hakuna siri kwenye mambo madogo kama hayo, hii deep sea wasomali wanapeleka meli zao huko hadi leo wakati wanasubiri ransom.
 
Huyu Shabiby ndio mwizi wa kwanza wa mafuta. Anatumia njama kwa kubadilisha mafuta yaliopo ontransit kwenda nje ya nchi kisha anayashusha kwenye vituo vyake kinyemelea bila kulipa kodi. Ukiona anaongea ujue kabinywa mahala.
Wivu tu, tafuta helaaa
 
Eleza huo werevu, unaoujua wewe
nchi zenye vikwazo huwa zinapeleka mafuta sehemu kama deep sea.
Kwa hali ya kawaida huwezi ku load consignments ya lita laki kadhaa za mafuta na usijue unapopeleka , yale mafuta seep sea hayana consignee .

Ungekuwa umewahi hata kusafirisha belo la mtumba kutoka nje ungegundua kuwa bila ya jina la mpokeaji mzigo haupandi meli.
Shabibiy ameshaambiwa afike wizarani , akalete hayo mafuta ya bei rahisi, Nashangaa bado analalamika
 
Mbunge Shabiby wakati akichangia hoja kwenye mjadala wa wizara ya nishati amemchana waziri January Makamba kuwa ni mpya kwenye wizara hiyo hivyo hajui chochote namna wapiga dili wanavyochezea wizara hiyo hasa kwenye bei ya mafuta.





Huyu nae aliambiwa kwamba aende wizarani apewe kibali cha kuleta mafuta yeye kila siku kutuhumu basi akaongeshe ushirikiano kwa serikali jinsi ya kuwanasa.
 
Huyu jamaa kwenye hii nishati mafuta anajua mengi sababu kubwa ni kutokana pia ni mfanyabiashara wa muda mrefu kwenye mambo ya uchukuzi na anajua tokana na tafiti zake, ningependekeza rais au hata waziri Januari akae na wafanyabishara wa usafirishaji ili kupata mawazo mazuri
Shabiby anauzoefu wa mafuta, alikuwa mmoja wa wakurugenzi wa TIOT. Waliagiza mafuta na kuyasafirisha kwenda Congo na Zambia.
 
Kwani Shabiby anauza mafuta, ila nilishamsikia akisema yeye anajua mafuta sehem yako kwa bei chee, kwanini asiruhusiwe alete jamani km ana uwezo huo??
Hauzi ila anayatumia katika biashara zake za mabasi .
 
Mbunge Shabiby wakati akichangia hoja kwenye mjadala wa wizara ya nishati amemchana waziri January Makamba kuwa ni mpya kwenye wizara hiyo hivyo hajui chochote namna wapiga dili wanavyochezea wizara hiyo hasa kwenye bei ya mafuta.





Amwambiye basi wanavyopiga ajuwe namna ya kuwadhibiti.
 
Watoto hawajui tu ni nini kilitokea hadi huo mfumo anaoulilia sbabiby leo ukasitishwa , ,kulikuwa na udanganyifu wa hali ya juu na mamlaka zilikuwa haziwezi kudhibiti udanganyifu huo
Hawa watu wa aina ya Shabib sio kweli ni wazalendo. Ni wafanyabiashara wanaotumia siasa kutengeneza fursa za kupiga watakavyoweza
 
Namuona kubwa jinga babu Tale akiwa ametulia na hirizi yake kiunoni
Unamtukana mtu ambayr kakuzid kila kitu, kuanzia pesa mpaka ushawishi ktk jamii huenda hata akili kakuzidi maana kipimo cha akili ni mafanikio....acheni dharau za kimasikini
 
Back
Top Bottom