Mbunge Shabiby wakati akichangia hoja kwenye mjadala wa wizara ya nishati amemchana waziri January Makamba kuwa ni mpya kwenye wizara hiyo hivyo hajui chochote namna wapiga dili wanavyochezea wizara hiyo hasa kwenye bei ya mafuta.
Mbunge Shabiby wakati akichangia hoja kwenye mjadala wa wizara ya nishati amemchana waziri January Makamba kuwa ni mpya kwenye wizara hiyo hivyo hajui chochote namna wapiga dili wanavyochezea wizara hiyo hasa kwenye bei ya mafuta.
Wapigaji wanaogopa atawaaribia soko lao!!!Kwani Shabiby anauza mafuta, ila nilishamsikia akisema yeye anajua mafuta sehem yako kwa bei chee, kwanini asiruhusiwe alete jamani km ana uwezo huo??
Kuna muda namuelewa Shabiby na kuna muda naielewa wizara.Shabiby ukiona kasimama Bungeni basi anazungunzia Biashara ya Fuel or ushindani wa kibiashara na wachuuzi wa kichina
mengine sio kiviiiiile
kila binadam kwanza anajipigania baadae ndio anafikiria wengine
Mafuta anayosema ni ya bei chee ni mafuta ya deal huko deep sea, ni kama vile uwe unatafuta simu ya kununua halafu nikwambie zipo za bei rahisi kinondoni kwa mateja ! Utanunua?Kwani Shabiby anauza mafuta, ila nilishamsikia akisema yeye anajua mafuta sehem yako kwa bei chee, kwanini asiruhusiwe alete jamani km ana uwezo huo??
Eleza huo werevu, unaoujua weweUnatetea ujinga
Bila shaka uko sebuleni kwa shemeji yako ndiyo maana huna akiliEleza huo werevu, unaoujua wewe
nchi zenye vikwazo huwa zinapeleka mafuta sehemu kama deep sea.
Kwa hali ya kawaida huwezi ku load consignments ya lita laki kadhaa za mafuta na usijue unapopeleka , yale mafuta seep sea hayana consignee .
Ungekuwa umewahi hata kusafirisha belo la mtumba kutoka nje ungegundua kuwa bila ya jina la mpokeaji mzigo haupandi meli.
Matusi ya nn ,elezea mzigo unapandaje meli bila consgnee!Bila shaka uko sebuleni kwa shemeji yako ndiyo maana huna akili
Angalia video ya mbungeMatusi ya nn ,elezea mzigo unapandaje meli bila consgnee!
Meli sio fuso la nyanya kwamba upakie mzigo halafu usijue unashuka soko lipi, kuna kitu kinaitwa bill of lading, document inayo eleza mzigo unaopotoka , bandari ulipopakiliwa , mwenye mzigo na bandari unaposhuka.
Mheshimiwa sana anashauri tukanunue mafuta ambayo hata quality control yake si rahisi kuijua
Anaweza kwenda ila akarudi bila meliKwani Shabiby anauza mafuta, ila nilishamsikia akisema yeye anajua mafuta sehem yako kwa bei chee, kwanini asiruhusiwe alete jamani km ana uwezo huo??
Kapewa fursa ya kuandika anayoyajua ngoja tuoneHuyu jamaa kwenye hii nishati mafuta anajua mengi sababu kubwa ni kutokana pia ni mfanyabiashara wa muda mrefu kwenye mambo ya uchukuzi na anajua tokana na tafiti zake, ningependekeza rais au hata waziri Januari akae na wafanyabishara wa usafirishaji ili kupata mawazo mazuri
Ohh hilo nalo ni sawa ila wapo wengi wafanyabishara wangechukuliwa kuchangia mawazo yao kuleta tijaKapewa fursa ya kuandika anayoyajua ngoja tuone
Wenye uwezo wa kwenda huko deep-sea kununua Mafuta nao wapewe kibali, si kila Mtu atauuza kutokana na soko lake! Hiyo ndiyo maana ya Soko huru! Tuaache soko la mafuta lishindane lenyewe kuliko kuwapa watu wachache wajipangie bei wanavyotaka wao!!!Mafuta anayosema ni ya bei chee ni mafuta ya deal huko deep sea, ni kama vile uwe unatafuta simu ya kununua halafu nikwambie zipo za bei rahisi kinondoni kwa mateja ! Utanunua?