Mbunge: SGR itajengwa kwa miaka 81

Hitla ujerumani ni shujaa acha upunga
 
Mbona wewe hujafa kwaio corona
 
Owky, sasa umekubali kwamba miundo mbinu na miradi ilokamilika ipo.!!!!!
Kama Bado una wasiwasi, weka hapa namba yako ya simu tafadhali, nikutafute, nataka nikuoneshe miradi iliyokamilika ,
ya huyu inaemwita fisadi na mwizi. Nchi nzima ntakupeleka kwa gharama yangu..
 
Laana kwako,
Unaemkejeli kiongozi aliewekwa madarakani na Mungu..
 
Alisifiwa na watu wapumbavu kama wewe, samahani kama umekwazika kuambiwa ukweli.
Mpumbavu amesema moyoni mwake. hakuna Mungu(zaburi 53:1)
Na yeyote anaejua kwamba Kuna Mungu, hawezi akamdharau kiongozi aliewekwa madarakani na huyo Mungu.

Warumi 13 : 1
"Kila mtu na aitii mamlaka iliyo kuu; kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na ile iliyopo umeamriwa na Mungu. "

Warumi 13 : 2
" Hivyo amwasiye mwenye mamlaka hushindana na agizo la Mungu; nao washindanao watajipatia hukumu. "

Haya ndugu , jitafakari usahihi wako kutuita wenzio wapumbavu,.
Ila kwa kuwa umetanguliza kuniomba msamaha, nimekusamehe..
 
Shida sio unafiki shida ni pale kiongozi anapopenda kusifiwa tu na ukimkosoa unaambiwa umetumwa na mabeberu. Mtu kama huyo ni kumsifia tu hamna namna.

Hapo tatizo ni magu.
Kama Ni shida, Basi imeondoka.
Wataka irudiiii??
 
Katika awamu ya JPM mbona mimi sijaona wizi bali makosa kazini tu? Huyo CAG anahangaika na vijisent vya mboga tu hivyo. Wizi ulikuwa wakati wa JK bwana acha kabisa!
 
Kusema ndege zinafaida wakati si kweli. Hiyo ilikua propaganda.
Siyo propaganda,
Ni maona ambayo yalikuwa Bado kutimia.
Kwani huwezi kuanzisha biashara ukapata hasara na Bado ukawa unaona faida kubwa katika siku au miezi au miaka ijayo., Na ukakomaa na hiyo biashara ungali Bado wapata hasara mpaka kieleweke...!!
Au mwalimu mkuu wako hakukufundisha growth curve ya
Biashara!!!
 
Serikali haikuwahi kumkamata mtuhumiwa yeyote wala kumpeleka mtuhumiwa yeyote mahakamani kuhusiana na mauaji haya kitu ambacho kinajenga na kutoa ushahidi wa mazingira kuwa mhusika alikuwa ni serikali ya Magufuli.
Duh,!!!!!!!!!!!
Hoja dhaifu Sana.
Kwa hiyo wahusika wote wa mauaji katika serikali mbalimbali za hapa nchini na duniani hukamatwa??????
Na hukamatwa muda gani baada ya tukio,
Pengine muda Bado, tuendelee kusubiri huenda wakakamatwa!!!!
 
Ruhusuni Unga ili ndege zenu zijae laa sivyo Shirika linaenda kufilisika
 
Kawahiyo CAG ni muongo? ccm hamueleweki kwakweli! Pole na maombolezo
 
Owky..
Kwanza naomba niulize..
Hivi CAG anapokagua hesabu akakuta hasara, Ni hesabu hizo anazokagua zinazomwonesha kwamba hasara imetokana na wizi,!!
Tena Ni hesabu tu hizo zinazomwonesha kwamba huu wizi kaufanya mtu Fulani.

Pili, wewe pia Kama huoni kazi zake , weka hapa namba yako ya simu , nikutafute , nikutembeze
nchi nzima kukuonesha kazi hizo,
Tuone Kama utarudi hapa kuja kupinga...
 

Mbunge anakubaliana na mhandisi mbobevu wa TRC, ingawa yeye mbunge hakubaliani ni miaka 15 Mhandisi: Reli ya SGR mpya kuchukua miaka 15 kumalizika
 
Hatuwezi kuonesha humu jamii forum,!!!!?
Nipe namba yako ya simu, nikutafute, nikuzungushe nchi nzima nikikuonesha miradi hiyo, ikiwemo ya chato, tuone Kama utarudi humu jamii forum kuendelea kubisha....
Acha bange wewe.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…