Quaresma Fai
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 592
- 635
Huna macho ya kuona,Aliyesema tuna Raisi Mshamba hakukosea... Yale Masifa ya Mwendazake sijaona Mradi ulioisha zaidi ya Kuchangishwa Madawati
Ilipaswa Dar Morogoro ifanye kazi, ili ianze kupunguza mzigo, lakini, sijui mwendazake Alibaba iishe yote kwa wakati mmoja, ili azindue apande treni ya kwanza yeye, Dar Mwanza! Tena angetaka kuiendesha yeye kabisa.Hayati ilikuwa lazima atukabe na kutupora, ngoma ni ngumu! tupambaneni tu tumalize hata kama ni kidogo kidogo.
Pengine raisi mshamba ametufaa zaidi kuliko raisi mjanjaAliyesema tuna Raisi Mshamba hakukosea... Yale Masifa ya Mwendazake sijaona Mradi ulioisha zaidi ya Kuchangishwa Madawati
mfumo mwingine ni wa kushirikisha sekta binafsi kumiliki hiyo reli TRC waweza uza hisa mfano kwa halmashauri na makampuni binafsi ya ndani na kwa watanzania au waweza tumia mfumo wa build and operate ila wasipewe watu wa nje.Iwe kwa watanzania tu
Bakheresa Uganda mbona kashika reli hata hapa anaweza
Ungekamilika Kama ilivyo kamilika miradi mingine iloyosimamiwa na huyo huyo inaemwita fisadi ,mwizi na mzembe., ..Sasa angekuwepo Magufuli mradi ungekamilika kwa muda mfupi kivipi wakati Magufuli alikuwa ni fisadi,mwizi na mzembe wa kusimamia rasilimali za uma?Umesoma ripoti ya CAG?Umeona jinsi alivyokuwa anaficha hasara ambayo ATCL ilikuwa inatengeneza na kutangazia uma kuwa ATCL inatengeneza faida lukuki?
Pamoja na kuficha hasara(Kama Ni kweli, maana haya yamefikiriwa na akili yako kwa msaada wa CAG binadamu),Sasa angekuwepo Magufuli mradi ungekamilika kwa muda mfupi kivipi wakati Magufuli alikuwa ni fisadi,mwizi na mzembe wa kusimamia rasilimali za uma?Umesoma ripoti ya CAG?Umeona jinsi alivyokuwa anaficha hasara ambayo ATCL ilikuwa inatengeneza na kutangazia uma kuwa ATCL inatengeneza faida lukuki?
Acha zambi brother... Usihukumu mtu jamaa angu... We muombee uko aliko hii kauli ni mbaya sanaMagufuli alikuwa na laana!
Huo Ni mtazamo wake,Mkuu suala la kwamba Magufuli alikuwa ni fisadi,mwizi na mzembe wa kusimamia rasilimali za uma sijaliibua mimi bali ameliibua CAG.Mimi na wewe ni nani hadi tumpingane na CAG?
Siyo mimi namwita fisadi bali ni ripoti ya CAG!Ungekamilika Kama ilivyo kamilika miradi mingine iloyosimamiwa na huyo huyo inaemwita fisadi ,mwizi na mzembe., ..
Hitler kwa miundombinu aliyojenga ujerumani ndani ya miaka mitatu ya utawala wake kwa uongozi wa sasa hivi wa ujerumani ilihitajika miaka 30 kujenga miundombinu hiyo,lakini Hitler katika historia huko huko Ujerumani na duniani kwa ujumla anadharaulika sana kama kiongozi wa hovyo wa ujerumani kuwahi kutokea.Unapaswa kujua kuwa kuongoza watu siyo kujenga miundombinu!Pamoja na kuficha hasara(Kama Ni kweli, maana haya yamefikiriwa na akili yako kwa msaada wa CAG binadamu),
Lakini kazi aliyoifanyia taifa hili watanzania na afrika nzima tumeiona..
Sijamhukumu mimi bali ni matendo yake ndiyo yanamhukumu braza!Acha zambi brother... Usihukumu mtu jamaa angu... We muombee uko aliko hii kauli ni mbaya sana
Aliiba na miradi ilienda umeme kila kijiji ulienda , Elimu bure ilipatikana vituo vya afya nchi nzima vilijengwa na barabara za mataa mitaani uswahilini zilijengwa nk hakuna kilichosimama sababu ikiwa moja kuu Magufuli alisema nchi yetu ni tajiri
Fikiria yote yaliwezekana pamoja na CAG kusema kuna wizi!!! Midege ilinunuliwa Cash na maneli kibao yalijengwa .Sasa serikali iliyopo wasio wezi changamoto iko kwao.Je waweza kufanya mambo makubwa kwa nchi kama aliyofanya huyo wanayemwita fisadi papa na kibaka Magufuli? tusubiri muda ni mwalimu mzuri tutajua kati ya fisadi papa magufuli na watakatifu wao nani zaidi.Majaji kwenye hili watakuwa wananchi wanyonge walio wengi sio CAG na viripoti vyake vya kwenye vikaratasi vya toilet papers
Mtazamo unaotakiwa kufuatwa ni mtazamo wa kitaalam na siyo mitazamo ya kishabiki na ya kichama.Mtazamo wa CAG ni mtazamo wa kitaalam na ndiyo unaopaswa kufuatwa na kila mtu.Huo Ni mtazamo wake,
Nasi tuna mitazamo yetu..
Hatuwezi kuonesha humu jamii forum,!!!!?Magufuli alikuwa ni populist aliejificha kwenye chaka la propaganda ili kuonekana ni kiongozi mchapa kazi!Angekuwa mchapa kazi leo hii tusingekuwa na huu ufisadi wa kutisha ulioibuliwa na CAG.Halafu utasikia sijui umeme kila kiji au sijui vituo vya afya kila kijiji au sijui barabara kila mahali ila zote hizi ni propanda tu ndiyo maana hii miradi hamuwezi kuionyesha ilipo bali huwa mnaishia tu kupiga domo.
Hitler kwa miundombinu aliyojenga ujerumani ndani ya miaka mitatu ya utawala wake kwa uongozi wa sasa hivi wa ujerumani ilihitajika miaka 30 kujenga miundombinu hiyo,lakini Hitler katika historia huko huko Ujerumani na duniani kwa ujumla anadharaulika sana kama kiongozi wa hovyo wa ujerumani kuwahi kutokea.Unapaswa kujua kuwa kuongoza watu siyo kujenga miundombinu!Hatuwezi kuonesha humu jamii forum,!!!!?
Nipe namba yako ya simu, nikutafute, nikuzungushe nchi nzima nikikuonesha miradi hiyo, ikiwemo ya chato, tuone Kama utarudi humu jamii forum kuendelea kubisha....
Msamehe bure, Mataga kwa sasa wamevurugwa, yaani wanabwatuka tu matusi ya nguoniMkuu, taratibu basi, aliyeyasema hayo ni mbunge wa CCM
Sijamhukumu mimi bali ni matendo yake ndiyo yanamhukumu braza!