Mbunge Selasini KUBURUZWA Mahakamani

ukiwa dereva,huwezi ku comment vibaya kwa dereva mwenzako akipata ajali hadi pale itakapothibitika kuwa ni uzembe wa dereva!bado haijathibitika kama ni uzembe wa selasin au la!lets wait..........
 
Dereva yeyote akisikia ajali hawezi kuanza kutoa hukumu au kutafuta nani amefanya makosa, gari ni chombo kilichotengenezwa na mikono ya wanadamu, kina kasoro, sisi madereva tuna kasoro, waenda kwa miguu wana kasoro, bodaboda zina kasoro kwa hiyo hatuwezi kumlaumu Mh. Joseph Selasini. Asiyekuwa na kasoro ni Mungu peke yake ndio maana tukianza safari, tukiwa safarini tukifika ni mpaka tumtangulize yeye. Asanteni.
 
Traffic case inawafanya mtukanane namna hii??
Mnajua adhabu zake lakini??

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
haya ndio matatizo ya ndugu zangu wachaga,badiliken ndugu zangu! Hela zote anataka yeye, looh!!!

Wewe mgogoro wako ni makabila na si bidhaa feki wala sheria za usalama barabarani......

Kwa sasa naendelea kumtakia Afya njema.Mungu ampe Faraja yeye na familia zilizokumbwa na Msiba
 
Wewe mgogoro wako ni makabila na si bidhaa feki wala sheria za usalama barabarani......

Kwa sasa naendelea kumtakia Afya njema.Mungu ampe Faraja yeye na familia zilizokumbwa na Msiba

Mkuu ni hayo hayo mataili "feki" ndio wengine wanayatumia na hawapati ajali za mara kwa mara, Huyu mh hayupo makini kwa kuwa ana record ya kupata ajali hii sio mara ya kwanza. Akiachiwa bila kuchukuliwa hatua kali atamaliza wapendwa wetu.
 
kwani gamba chenge, aliyeendesha gari bila bima, akiwa amelewa chakari , akaua watu wawili alihukumiwa kwenda jela miaka mingapi?

hapo ndipo unajua kwamba hukumu ni kwa wanyonge tu inauma lkn !
 
Mkuu we ndiyo Deus nini?

Inawezekana Umemtafuta sana Deus Siku Nyingi..... Soma Jina langu vizuri halafu uniulize tena!..Watanzania mnaishi kama miungu na kupenda kuchekelea ya watu huku mkizusha kila ina ya uchafu!... Mkumbuke kuna kufa..Hakuna atakayekwenda na gari mbinguni!.
 
Ndio maana mm nikasema inategemea taarifa ya polisi make waliokufa ni ndugu zake je ndugu zake watafungua kesi kumuhukum 30 ndugu yao? na pia tusisahau huyu ni Mbunge mwakilishi wa watu, je watu wake watakubali ateseke na wao wateseke ukizingatia alimwangusha jabali gamba mramba kweye ubunge pia sasa ni mremavu,so kuna mambo mengi ya kuitaji consideration?

true, lakin may b bahat mbaya ajal ikatokea hatukuwepo tunasimuliwa tu oh mara hiv mara vile , w neva know only god knows
 
Back
Top Bottom