PreGE2025 Mbunge Sekiboko: Nilipohitimu Digrii ya Ualimu, nilijifunza kushona viatu VETA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo Husna Sekiboko akizungumza mkoani Dar es Salaam wakati wa kilele cha maadhimisho ya miaka 30 tangu kuanzishwa kwa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) amesema yeye baada ya kuhitimu Shahada yake ya kwanza ya ualimu aliamua kwenda VETA kupata ujuzi wa kushona viatu.

Soma: Mkurugenzi Mkuu VETA: Hata wenye PhD wanakaribishwa VETA

"Mimi wakati nimemaliza digrii yangu ya kwanza ya ualimu Mheshimiwa Waziri Mkuu niliamua kwenda VETA na nilikwenda kujifunza nipate ujuzi wa kushona viatu ". amesema Sekiboko

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo Husna Sekiboko akizungumza mkoani Dar es Salaam wakati wa kilele cha maadhimisho ya miaka 30 tangu kuanzishwa kwa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) amesema yeye baada ya kuhitimu Shahada yake ya kwanza ya ualimu aliamua kwenda VETA kupata ujuzi wa kushona viatu.

"Mimi wakati nimemaliza digrii yangu ya kwanza ya ualimu Mheshimiwa Waziri Mkuu niliamua kwenda VETA na nilikwenda kujifunza nipate ujuzi wa kushona viatu ". amesema Sekiboko
Mimi namshauri muheshimiwa Husna ssekiboko apumzike uchaguzi ujao asipate tena nafasi ya ubunge, ni muda sasa tuzione nguo nzuri mitandaoni alizozishona Husna ssekiboko
 
Kwa nini alikuwa mbunge.
Hakikisheni kikao hiki kimalize haraka
IMG_0859.jpeg
 
KIWANDA CHA VIATU CHA Mbunge Sekiboko:​

Asimulia Alivyomaliza 'Degree' ya Ualimu na Kwenda VETA Kujifunza Kushona Viatu, na kuanzisha kiwanda cha viatu

View: https://m.youtube.com/watch?v=pHN6xrZs_bM
Wanunuzi wa viatu vya Sekiboko wavionesha uzuru na ubora wake, hakika VETA ina mchango wake katika.. kiwanda cha mbunge Husna Juma Sekiboko kutoka Mlalo Lushoto Tanga nchini Tanzania
 
Kwahiyo Wakitoka VETA, wanaingia mjengoni kugonga Meza?

Tuelewane mapema, sio wengine wakitoka huko VETA waanze kuranda randa mtaani kusaka ridhiki. Lol

Viongozi wa hii nchi, mshipa wa aibu ulikatika kabisa.
Mxxxiiieeew.
Wewe engineer safari VETA kuongeza degree nyingine ya mapishi 😹😹😹
 
KIWANDA CHA VIATU CHA Mbunge Sekiboko:​

Asimulia Alivyomaliza 'Degree' ya Ualimu na Kwenda VETA Kujifunza Kushona Viatu, na kuanzisha kiwanda cha viatu

View: https://m.youtube.com/watch?v=pHN6xrZs_bM
Wanunuzi wa viatu vya Sekiboko wavionesha uzuru na ubora wake, hakika VETA ina mchango wake katika.. kiwanda cha mbunge Husna Juma Sekiboko kutoka Mlalo Lushoto Tanga nchini Tanzania

MBUNGE SEKIBOKO ATOA ELIMU YA UJASIRIAMALI KWA WANAWAKE ZAIDI 1000 TANGA...

View: https://m.youtube.com/watch?v=MBcWf1v1le0
 
KIWANDA CHA VIATU CHA Mbunge Sekiboko:​

Asimulia Alivyomaliza 'Degree' ya Ualimu na Kwenda VETA Kujifunza Kushona Viatu, na kuanzisha kiwanda cha viatu

View: https://m.youtube.com/watch?v=pHN6xrZs_bM
Wanunuzi wa viatu vya Sekiboko wavionesha uzuru na ubora wake, hakika VETA ina mchango wake katika.. kiwanda cha mbunge Husna Juma Sekiboko kutoka Mlalo Lushoto Tanga nchini Tanzania

Tapeli mkubwa
 
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo Husna Sekiboko akizungumza mkoani Dar es Salaam wakati wa kilele cha maadhimisho ya miaka 30 tangu kuanzishwa kwa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) amesema yeye baada ya kuhitimu Shahada yake ya kwanza ya ualimu aliamua kwenda VETA kupata ujuzi wa kushona viatu.

Soma: Mbunge Sekiboko: Nilipohitimu Digrii ya Ualimu, nilijifunza kushona viatu VETA

"Mimi wakati nimemaliza digrii yangu ya kwanza ya ualimu Mheshimiwa Waziri Mkuu niliamua kwenda VETA na nilikwenda kujifunza nipate ujuzi wa kushona viatu ". amesema Sekiboko

View attachment 3275026
Huyu mama, mimi amenigusa sana!.
P
 
Da! Inasikitisha sana.
Atakuwa ni mwalimu wa masomo ya Sanaa.
Hawa huwa thinking capacity yao ipo chini sana.
 
Back
Top Bottom