"Baadhi ya wasomi wengi"!!!Mimi naelewa mtu akisema ...."baadhi ya wasomi wengi wa mlimani".........anamaanisha baadhi ya Madaktari na Maprofesa wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam hususan wale ambao wanafundisha kule. Kumbuka kuwa Dr. Bashiru ametoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam muda si mrefu akiwa miongoni mwa Ma-Dkt.
Umeingia kwa kuteuliwa utaondoka kwa kutenguliwa , huna uwezo wa kukaribisha wenyeji .Asante karibu kilingeni Iringa
Huyo kiswahili ni lugha ya mwisho kwake,anachojua ni kimakonde tu.Kichwa cha uzi huu kinapotosha. Haja taja majina na pia hakumaanisha wote waliosoma hapo ni hasara. Kama alivyoandika, kasema "....ndiyo maana wasomi wengi wa Mlimani...". Kiswahili ni lugha ya ngapi kwako?
kwa hiyo na wewe una proof kwamna ni.hasara kwa Taifa sio....Haka kaleta mada ni kapumbavu. kwa sababu,
Kwanza hayo majina kameyabuni tu kichwani, hayatajatwa popote na Msigwa.
Pili hakajaja na proof yoyote kwamba wasomi wengi wa mlimani sio hasara kwa taifa.
Muulize Msigwa.kwa hiyo na wewe una proof kwamna ni.hasara kwa Taifa sio....
Kwa misingi ipi?? Mimi ni Msigwa?Wewe leta hizo hasara, nami katika muendelezo wa uzi huu nitaleta faida zao!
Uelewa wako uko chini sana, kama huwezi kutofautisha wengi na wote na wewe ni hasara.Majina hayajatajwa ila hao ni baadhi tu ya wasomi kutoka UDSM
Sasa tusi likowapi hapo?Majina hayajatajwa ila hao ni baadhi tu ya wasomi kutoka UDSM
Haujui kiswahili, unakurupuka tu kwa sababu hauna kazi ya kufanya, angelitumia neno wote ungekuwa na hoja hivyo wengi si wote.View attachment 956889
Hayo ni maneno ya Mchungaji Msigwa Mbunge wa Iringa Mjini katika mtandao wa Twitter. Sasa tujiulize Je, ni lini Msigwa na viongozi wengine katika nafasi mbalimbali wataanza kuheshimiana? Suala hili linaweza furahiwa sana na vijana wa mtaa fulani kutoka mbugani kwa kuwa limemlenga mtu fulani kutoka nchi ya ahadi. Hapo hapo linapokuja suala la kumhusu kiongozi wa upande wao basi huanza kusema kuwa wanakosewa heshima, Mfano siku za karibuni niliuona tweet moja ikiongelea mtoto wa Mbunge Bulaya kuwa sio riziki na kuongezewa video lakini watu walitokwa sana povu kuwa inaingilia mambo ya faragha ya familia ya Mbunge Bulaya.
Sasa ni Msigwa kama ilivyokawaida akiongozwa na Godbles Lema, Zitto na Mdee katika kutukana viongozi mtandaoni.
View attachment 956886
Wewe ndo unapaswa kuulizwa uliishia la ngapi,Mkuu uliishia darasa la ngapi?
Kwani swali langu uliliewaje?Wewe ndo unapaswa kuulizwa uliishia la ngapi,
Yani haujagundua dosari ktk Uzi !