Mbunge Peter Msigwa awatusi waliosoma UDSM (Zitto, Mnyika, Lowassa, Lissu, Heche, Matiko, Bulaya)

Mimi naelewa mtu akisema ...."baadhi ya wasomi wengi wa mlimani".........anamaanisha baadhi ya Madaktari na Maprofesa wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam hususan wale ambao wanafundisha kule. Kumbuka kuwa Dr. Bashiru ametoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam muda si mrefu akiwa miongoni mwa Ma-Dkt.
"Baadhi ya wasomi wengi"!!!

Neno wengi limeshafuta neno Baadhi.... Kiingereza na Kiswahili vyote hatuvijui
 
Kichwa cha uzi huu kinapotosha. Haja taja majina na pia hakumaanisha wote waliosoma hapo ni hasara. Kama alivyoandika, kasema "....ndiyo maana wasomi wengi wa Mlimani...". Kiswahili ni lugha ya ngapi kwako?
Huyo kiswahili ni lugha ya mwisho kwake,anachojua ni kimakonde tu.
 
Haka kaleta mada ni kapumbavu. kwa sababu,
Kwanza hayo majina kameyabuni tu kichwani, hayatajatwa popote na Msigwa.
Pili hakajaja na proof yoyote kwamba wasomi wengi wa mlimani sio hasara kwa taifa.
kwa hiyo na wewe una proof kwamna ni.hasara kwa Taifa sio....
 
View attachment 956889
Hayo ni maneno ya Mchungaji Msigwa Mbunge wa Iringa Mjini katika mtandao wa Twitter. Sasa tujiulize Je, ni lini Msigwa na viongozi wengine katika nafasi mbalimbali wataanza kuheshimiana? Suala hili linaweza furahiwa sana na vijana wa mtaa fulani kutoka mbugani kwa kuwa limemlenga mtu fulani kutoka nchi ya ahadi. Hapo hapo linapokuja suala la kumhusu kiongozi wa upande wao basi huanza kusema kuwa wanakosewa heshima, Mfano siku za karibuni niliuona tweet moja ikiongelea mtoto wa Mbunge Bulaya kuwa sio riziki na kuongezewa video lakini watu walitokwa sana povu kuwa inaingilia mambo ya faragha ya familia ya Mbunge Bulaya.
Sasa ni Msigwa kama ilivyokawaida akiongozwa na Godbles Lema, Zitto na Mdee katika kutukana viongozi mtandaoni.
View attachment 956886
Haujui kiswahili, unakurupuka tu kwa sababu hauna kazi ya kufanya, angelitumia neno wote ungekuwa na hoja hivyo wengi si wote.
 
Madaraka yana athiri uwezo wao kufikiria ,cdhan hawana akili kufkia kuwa hasara.
 
Back
Top Bottom