Wanajanvi,
Japokuwa vikao vya Bunge serikali imedai hawataweza kutuonyesha live kutokana na ufinyu wa bajeti lakini wameamua kutuonyesha kiduchu.
Naomba kuuliza je aliyekuwa Waziri wa Mali Asili na Utalii kwenye awamu ya Kikwete yuko wapi? Bungeni haonekani au naye ana adhabu kama wabunge kama kina Tundu Lisu?
Nawasilisha!
Atawachaje mizuka wakati ashakwambia kuwa breki hafungi?angalia ID yakekwa hiyo hapo ndo umejibu swali au?...
acha mizuka mtu wangu.....
Mtawafunga sana wana ccm menzenuFile lake kwa dpp linasubiriwa kupelekwa mahakamani baada ya rais kuwa mwenyekiti wa chama
Nia yao ni kuwaficha wabunge wachapa usingizi bungeni badala ya kuchangia mijadala ya kimaendeleoMkuu usidanganyike kuwa bunge kutoonekana live ni ufinyu wa bajeti, la hasha! Wamekataza hata media binafsi zilizo kuwa tayari kurusha mijadala ya bunge!.
Nyalandu hakuwahi kuwa na muda bungeni alikuwa anaonekana pale tu bajeti ya wizara yake inaposomwa, yuko busy kuwinda tembo na kuingia ubia wa kumaliza rasilimali zetu na wazungu.
Nasikia eti wadada warembo Wa bongo muvi walikuwa na bahati ya kutangaza utalii Wa Tanzania majuu wakiambatana na MhNyalandu hakuwahi kuwa na muda bungeni alikuwa anaonekana pale tu bajeti ya wizara yake inaposomwa, yuko busy kuwinda tembo na kuingia ubia wa kumaliza rasilimali zetu na wazungu.
hizi ni tuhuma kubwa sana! unaushahidi wa kutosha DPP afungue mashtaka?Hivi ajali ya Filikunjombe ilishafanyiwa Uchunguzi? au waliamini ni ajali tu basi, Ile helikopta ililipuliwa angani katika mbuga za wanyama na Nyalandu alionekana akiwa anahaha sana kutuma vikosi vya uokozi etc! mh.