Mbunge Ngassa akabidhi Matofali na Saruji CCM Kata ya Igunga

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,902
944
Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa, Leo tarehe 5 Julai, 2023 amekabidhi matofali na mifuko ya saruji kwa ajili ya kuendelea na ujenzi wa Ofisi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Igunga.​

Mheshimiwa Ngassa (MB) anaendelea na programu ya ujenzi wa Ofisi za Chama cha Mapinduzi (CCM) kwenye Kata Kumi na Sita za Jimbo la Igunga.

"KAZI NA MAENDELEO"

Imetolewa na:
Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Igunga

 
Mifuko mingapi na matofali mangapi pamoja na ghalama iliyotumika hujaweka. Weka tafadhari
 
Back
Top Bottom