Mbunge Mwita Waitara (CHADEMA) ni mfano kwa jamii

Mambo ya kijinga tu kwahiyo atafundisha hesabu jimbo zima? Badala ya kuisimamia serikali isomeshe na iajiri walimu wa hesabu anafundisha mwenyewe, na jpm akachundishe physics au?
Hata mm km nina muda wa ziada ningejitolea.

Angekuwa AraC dar kaenda kufundusha mngetoa sifa hadi zikabubujika.

Double standard
 
Mambo ya kijinga tu kwahiyo atafundisha hesabu jimbo zima? Badala ya kuisimamia serikali isomeshe na iajiri walimu wa hesabu anafundisha mwenyewe, na jpm akachundishe physics au?
physics?
 
wanafunzi hawatasahau hiyo formula
 
Back
Top Bottom