Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,003
- 31,804
Hapa ndo nimejua kuwa ukiwa na akili timamu huwezi kuwa kama mtoa maada
Wewe ni kulalamika tu!!! Utaugua ugonjwa wa moyo fanya mambo yako bwana mdogo kabla muda haujakuacha!!Mbunge wa Ukonga mwalimu Mwita Waitara CHADEMA akifundisha somo la hesabu katika shule ya sekondari Chanika leo.
View attachment 481820
Je, serikali tatizo la walimu wa sayansi na hesabu nadhani limekwisha.
What a shame, serikali ya ajabu sana hii.
Hiyo sehemu hatari sana..kufika tu kilindoni ni shida..Dutwa Bariadi[emoji23] [emoji23] [emoji23]...Jibondo mafia ndo niko huku usiombe jamaa angu....hapafai
Physics hajasoma kama somo la kufundishia. Inshort hajui [emoji23] [emoji23]Mambo ya kijinga tu kwahiyo atafundisha hesabu jimbo zima? Badala ya kuisimamia serikali isomeshe na iajiri walimu wa hesabu anafundisha mwenyewe, na jpm akachundishe physics au?
Angeweka video tusikie english yake[emoji23] [emoji23] [emoji23] picha pekee haitoshi kudhibitisha kama kweli amefundisha au ameshika chaki apigwe picha tu!Kumbe wanaruhusu kupiga picha darasani ukiwa unafundisha na kuisambaza kwenye mitandao eeeh!!!
Wanaruhusu pia ukiwa umemualika TID nyumbani kwako.Kumbe wanaruhusu kupiga picha darasani ukiwa unafundisha na kuisambaza kwenye mitandao eeeh!!!
Kwani darasa ni choo? Kuna sheria inayomzuia mtu kupiga picha darasani? Hata wewe ukitaka waweza kwenda kupiga tuKumbe wanaruhusu kupiga picha darasani ukiwa unafundisha na kuisambaza kwenye mitandao eeeh!!!
Huyo mkuu wa shule anahatarisha ajira kwa kuruhusu haya.
Hivi kwa nini waTz tumekuwa na mawazo hasi dhidi ya wapinzani wa serikali??!! , hawa ni watanzani wenye mawazo mbadala kuhusu mustakbali wa taifa hili. Tuwaunge mkono kama na serikali inavyoomba kuungwa ikono !!Mkuu wa shule ya Chanika atapewa uhamisho na kuwa mwalimu wa kawaida huko Jibondo kisiwani Mafia au Dutwa..
Mkuu hiki si kituko bali ni ujumbe tosha kuwa nje ya shule kuna watu wengi sana ambao ni walimu wa sayansi. kwa hivi kiuhalisia tatizo la walimu wa sayansi ni tatizo la makusudi.nchi hii vituko haviishi CCM vituko CHADEMA vituko sasa ngoja tushangilie hivi vituko, uzuri wake namba tunasoma kwa pamoja