Mbunge Mwita Waitara (CHADEMA) ni mfano kwa jamii

mr mkiki

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
5,588
11,668
Mbunge wa Ukonga mwalimu Mwita Waitara CHADEMA akifundisha somo la hesabu katika shule ya sekondari Chanika leo.

IMG_20170316_172912.jpg

Je, serikali tatizo la walimu wa sayansi na hesabu nadhani limekwisha.

What a shame, serikali ya ajabu sana hii.
 
Mbunge wa Ukonga mwalimu Mwita Waitara CHADEMA akifundisha somo la hesabu katika shule ya sekondari Chanika leo.

View attachment 481820

Je, serikali tatizo la walimu wa sayansi na hesabu nadhani limekwisha.

What a shame, serikali ya ajabu sana hii.
WAPO BUSY WANAHAMIA DODOMA.... WAKIMALIZA KUHAMA NDIO WATAANZA KUSHUGHULIKIA MATATIZO YA WATOTO WENU....

WANASHIDA GANI WAKATI WATOTO WAO WAPO SHULENI MALAYSIA, AUSTRALIA NA KWINGINEKO??????
 
Mambo ya kijinga tu kwahiyo atafundisha hesabu jimbo zima? Badala ya kuisimamia serikali isomeshe na iajiri walimu wa hesabu anafundisha mwenyewe, na jpm akachundishe physics au?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom