Gambo amwambia DED na viongozi Arusha hatishiwi Nyau

Alichopanda ndicho anachovuna leo. Huyu si ndie alikuwa anaweka ndani watumishi ovyo alipokuwa DC Korogwe?
Ukiachilia mbali Korogwe alikutukana mwanasheria wa halmashauri, pale Arusha alimweka ndani Lema kwa muda mrefu sana. Ningekua mie ndio DC wa Arusha, namweka ndani saa 24 kabisa.
 
Kweli Mungu hadhihakiwi, alipanda chuki anataka avune Upendo. Gambo anajulikana mtaalamu wa majungu na fitina leo analia lia kwa wamama, tena ana bahati RC wa Arusha ni mtu mzima sana na hana makuu
 
Back
Top Bottom