Kuna kila dalili zinazoonesha wazi kwamba wananchi wa Jimbo la Musoma vijijini (kwa sasa Jimbo la Butiama)hawatamchagua tena Mbunge wao, Nimrod Mkono. Kisa wananchi wanalalamika kawatelekeza kuboresha huduma muhimu za kijamii ikiwemo sekta ya maji na afya kwa akina mama.
Anayetajwa zaidi kwa sasa kumrithi Mkono ni Yusuph Kazi wa CHADEMA. Yetu macho na masikio, lakini waliopo huko Musoma wanaweza kutujuza kwa usahihi zaidi katika hili.
Anayetajwa zaidi kwa sasa kumrithi Mkono ni Yusuph Kazi wa CHADEMA. Yetu macho na masikio, lakini waliopo huko Musoma wanaweza kutujuza kwa usahihi zaidi katika hili.