Crucial Man
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 3,404
- 1,312
Yusufu kazi nimefanya nae kazi mgodi wa Tulawaka,jamaa mlevi Sana,alafu sio mzuri kwenye kujenga hoja.
ila kwa kupiga deals jamaa mzuri Sana,anaweza Ku take risk ipasavyo.
pale Tulawaka akiwa Dereva wa idara ya ulinzi alianzisha Mkukuta,aaaahh vijana wengi walifaidi Sana,he is schemer mzuri mnno.
go go Yusuf kazi,ila punguza ulevi.