Mbunge Mary Mwanjelwa apata ajali mbaya, watu kadhaa wapoteza maisha!

Mkuu naona umeamua kutokuwa mnafiki na kuwa real! Big up. Binafsi nimeona hivyo baada ya kukumbuka alivyokamatwa kama kibaka na walinzi wa African Tulip hapa Arusha akiwa ameiba taulo za hotel hiyo na kuzisunda kwenye begi lake huku wakilalamika kuwa ni tabia yake na walimwekea mtego akanasa. Mtu wa hivyo huwa simtakii mema!

RIP..
Mkuu unasema ana tabia ya kuondoka na taulo hotels za watu bila ya kuomba..? Cijaicikia hii..!
 
Duh! Tunamtakia kila la Kheri ndg yetu apone mapema na MUNGU amwezeshe na aweze kuendelea na ujenzi wa Taifa letu kwa jinsi anavyotendaga.

Pasco ndg yetu tunashukuru sana kwa news hii!!
 
Pasco, tahadhari uliyoweka inakuwa na nguvu zaidi ya hoja yako ya msingi.
Ningekuwa mimi ningeanzisha thread nyingine ya TAhadhari parse!

Mwanjelwa Upone kwa haraka!
 
Back
Top Bottom