tanzania digital
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 425
- 269
Hivi huyu mama karudi tena bungeni??
Naye haya hakuyajua kabla??Kilichosababisha martha kuzuiwa ni kwamba alikuwa anatumia diplomatic passport kwa safari yake binafsi,hiyo paspot inalipiwa na serikali.sasa kama anataka kutumia hiyo paspot ni lazima apate kibali cha katibu wa bunge kutoka kwa katibu mkuu maana fedha inatoka hazina kulipia safari,lakini angetumia paspot binafsi asingezuiwa
Alitaka kusafiri kikazi?Kwa maslahi ya taifa sawa..lakini kama kazi binafsi...wenda kuna 1,2,3...Marufuku ya Magufuli kutosafiri nje ya nchi imeanza kufanya kazi kwa wabunge baada ya mbunge wa Singida viti maalumu, Martha Mlata jana kuzuiwa uwanja wa ndege wa JKNIA hadi apate kibali maalum kutoka Ikulu.
Yes, alete source au aache uzushi!Tupe source ya habari yako.
mbona vyama vya siasa vinapewa ruzuku na serikali ambayo ni kodi zetu na wao ni watumishi wa serikali
Mihimili mitatu ya nini?kuna mihimili mitatu
1. bunge
2. mahakama
3. serikali
Pesa za kuendesha ShUGHULI zao zinatoka HAZINA .
Kuna wizara mahsusi zinazosimamia Mihimili hiyo. Unapojitahidi kutenganisha pia jitahidi kuhusianisha utafikia tamati nzuri
Wewe nae unagumusha mambo,hiyo dola ndio kitu gani?Hebu tuweke hili sawa. Dola Ina mihimili mitatu; Serikali, Bunge na Mahakama. Sasa tuanzie hapo
kuna mihimili mitatu
1. bunge
2. mahakama
3. serikali
Pesa za kuendesha ShUGHULI zao zinatoka HAZINA .
Kuna wizara mahsusi zinazosimamia Mihimili hiyo. Unapojitahidi kutenganisha pia jitahidi kuhusianisha utafikia tamati nzuri
Pasco wewe ndiye mbumbumbu au makusudi yako kwani wajua stahili zote za Mbunge hulipwa na Serikali.Huu ni uonevu, umbumbumbu wa sheiria na ujuha tuu!, mbunge sio mtumishi wa serikali, ni mtumishi wa watu!.
Pasco
Umma ni nini?je shekhe,padri au mchungaji sio watumishi wa umma?M
mtu yeyote anayelipwa Posho na mshahara na Serikali ni mtumishi wa umma tu awe upinzani au ccm, pesa zote za kuwahudumia Wabunge hutoka Hazina hivyo hawakwepi kuitwa Watumishi wa umma licha ya kuwa ni chaguo la wananchi ktk majimbo yao.
We ndo hujui somo la uraia. Serikali imegawanyika katika sehemu ngapi?