Huu ni uonevu, umbumbumbu wa sheiria na ujuha tuu!, mbunge sio mtumishi wa serikali, ni mtumishi wa watu!.Marufuku ya Magufuli kutosafiri nje ya nchi imeanza kufanya kazi kwa wabunge baada ya mbunge wa Singida viti maalumu Martha Mlata jana kuzuiwa uwanja wa ndege wa JKNIA hadi apate kibali maalum kutoka ikulu.
Mkuu nahisi hujui chochote au unajua lakini umeamua kujifurahisha tu,Mbunge si mtumishi wa Serikali.Kumbe alitaka kuleta usela kama kipindi kilichopita cha Mkwere!!!!
Kama hujui kitu bora kuuliza.aliyekwambia mbunge si mtumishi wa umma nani? Kwa hiyo anamtumikia nani sasa?hilo agizo haliwahusu wabunge wanaosafir kwa shughuli zao binafsi labda kama safar yake inalipiwa na serikali.
Mbunge si mtumishi wa umma
Nyie ndo wapuuzi msiojielewa. Kwa taarifa yako mbunge diwani sijui waziri wote ni watumishi wa umma.Upuuzi mtupu,mbunge si muajiriwa wa serikali
Acha ukasuku. Mbunge ni mtumishi wa umma.Huu ni uonevu, umbumbumbu wa sheiria na ujuha tuu!, mbunge sio mtumishi wa serikali, ni mtumishi wa watu!.
Pasco
Acha ukasuku. Mbunge ni mtumishi wa umma.
Kuna tofauti kati ya 'mtumishi wa serikali' na 'mtumishi wa umma'.Inaonesha huijui kabisa concept ya utumishi wa uma?Yaani utaka kusema ya kuwa mbunge anawajibika kwa katibu mkuu kiongozi? Somo la uraia Muhimu kumbe
We ndo hujui somo la uraia. Serikali imegawanyika katika sehemu ngapi?Inaonesha huijui kabisa concept ya utumishi wa uma?Yaani utaka kusema ya kuwa mbunge anawajibika kwa katibu mkuu kiongozi? Somo la uraia Muhimu kumbe