Acheni ubahiri, tunavibaka wengi sana mtaani ambao wanaweza kuwa madereva wazuri tu......toeni ajira kwa vijana!
Anyway.....pole sana!
Tafadhari mkuu weka wazi hiyo mashine kwani inanitia wasiwasi isije ikawa mashine ya kufua moto!Hata hivyo huyo toto bomba haswa,naomba namba yake tafadhari mwenyenayo ili niweze kumpatia huduma nyingine kamilifu sababu analipa kikweli.pole sister,
lakini, hivi hawa wa viti maalum ni wabunge kweli? manake qualifikesheni yao kubwa ni mashine whether used or brand new!
kweli ccm wanafanya madudu!
Tafadhari mkuu weka wazi hiyo mashine kwani inanitia wasiwasi isije ikawa mashine ya kufua moto!Hata hivyo huyo toto bomba haswa,naomba namba yake tafadhari mwenyenayo ili niweze kumpatia huduma nyingine kamilifu sababu analipa kikweli.
Nitatafuta mkuu.eti ona alivyo bomba japo pasport size tu, lakini anaita kishenzi sasa aajiri dereva kibaka wa manzese atasalimika kweli humo kwemnye shangingi lake?
namba yake labda ujaribu kuusearch google
Kwani dereva hapati ajali?Hivi jamani mahela yote hayo na maposho bwelelee hata kuajiri dereva nayo ishu
any way augue pole
Kwani dereva hapati ajali?
Pole sana Mbunge wetu Mungu akujaalie nafuu uponr haraka
hayo mengine tutahoji akishapata nafuu jamani likiwemo la yeye kuruhusiwa kuendesha gari mwenyewe si nilisikia wana madereva!
get well soon mami
Mtoto anaita balaa jamani mwenye picha yake full aweke hapa
pole sister,
lakini, hivi hawa wa viti maalum ni wabunge kweli? manake qualifikesheni yao kubwa ni mashine whether used or brand new!
kweli ccm wanafanya madudu!
SalutationTafadhari mkuu weka wazi hiyo mashine kwani inanitia wasiwasi isije ikawa mashine ya kufua moto!Hata hivyo huyo toto bomba haswa,naomba namba yake tafadhari mwenyenayo ili niweze kumpatia huduma nyingine kamilifu sababu analipa kikweli.
KUna haja ya kufanya utafiti wa kina kujua kuna nini kati ya Gairo (kuanzia maeneo ya Pandambili) had Dodoma kuna nini hasa kinachosababisha ajali mara kwa mara katika maeneo hayo
Nimeshapiga hiyo namba kwa bahati mbaya haipatikani,lakini nitajaribu kutuma email nadhani itajibiwa,ahsante mkuu.Salutation
Honourable
Member picture
First Name:
Lucy
Middle Name:
Thomas
Last Name:
Mayenga
Member Type:
Special Seat
hayaConstituent:
No Constituency
Political Party:
CHAMA CHA MAPINDUZI
Office Location:
P.O.Box 44, Bariadi
Office Phone:
+255 713 260926
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail:
lmayenga@parliament.go.tz
Member Status:
Current Member
Start Date:
28 December 2005
End Date:
30 August 2010
Date of Birth
23 August 1977
EDUCATIONS
School Name/Location
Course/Degree/Award
Start Date
End Date
Level
Mikocheni Primary School
Primary Education
1989
1991
PRIMARY
Kisutu Girls Secondary School
Secondary Education
1991
1995
SECONDARY
Jitegemee Secondary School
High School
1996
1998
HIGH SCHOOL
Tanzania School of Journalism (TSJ)
Certificate
1998
1999
CERTIFICATE
Tanzania School of Journalism (TSJ)
Diploma
1999
2000
DIPLOMA
Centre for Foreign Relations (CFR)
Diploma
2003
2004
DIPLOMA
CERTIFICATIONS
Certification Name or Type
Certification No.
Issued
Expires
No items on list
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name
Position
From Date
To Date
Business Time Co. Ltd
Journalist
2000
2002
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location
Position
From
To
Chama cha Mapinduzi
Special seat (Youth Group)
2005
To Date
Chama cha Mapinduzi
Member General Council (UVCCM) & (UWT)
2004
2004
Chama cha Mapinduzi
Member of Regional Youth Council (UVCCM)
2002
2002
Chama cha Mapinduzi
Branch Chairman-Ward & Youth
1998
1999
Chama cha Mapinduzi
Youth Commander (CCM)
1988
1988
PUBLICATIONS
Description
Published Date
No items on list
SPECIAL SKILLS
Skill Name or Description
Years Experience
Acquired Through
Skill Level
No items on list
RECOGNITIONS
Recognition Type
Recognition Date
Reason
Action Taken
Issued by
No items on list
Nimeshapiga hiyo namba kwa bahati mbaya haipatikani,lakini nitajaribu kutuma email nadhani itajibiwa,ahsante mkuu.