kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,931
- 7,829
Kwa wapenda haki kuachiwa mbunge lijuakali na jaji munisi kwa msingi eti hati ya mashitaka ilikosewa kujazwa ni kutoitendea fani ya sheria haki.
Lijuakali alikutwa na makosa (was found guilty) kwa makosa aliyoshitakiwa nayo kwa hivyo mahakama ya juu kumuachia kwa kasoro ya kujazwa fomu ya mashitaka inaonyesha uzembe au kukosa uwajibikaji kwa jaji. ingekua sahihi jaji kuelekeza mashtaka yafunguliwe upya kuliko kumuachia mhalifu.
Wapo wanasheria kama lisu nihodari wa kuwatoa wahalifu lupango kwa makosa ya kiufundi (technical faults). wanaweza kumtoa mhalifu gerezani kwa kosa la kiufundi lisilo na uzito ukichukulia wanasheria wengi kua na kawaida ya kuuza haki. ukizingatia hayo utaona idadi ya wahalifu kuachiwa kwa sababu za kiufundi huku tayari wakiwa wameonekana na makosa yaweza kuongeza huko tunakoelekea.
Kwa wapenda haki mbunge Lijuakali bado ni muhalifu kwa sababu rufani yake haikumuona hana kosa alilokua amekatiwa hukumu ya kifungo na mahakama ya chini.