Mbunge Lijualikali bado ni muhalifu

Mbunge Lijualikali bado ni muhalifu

Kwa wapenda haki kuachiwa mbunge lijuakali na jaji munisi kwa msingi eti hati ya mashitaka ilikosewa kujazwa ni kutoitendea fani ya sheria haki. lijuakali alikutwa na makosa (was found guilty) kwa makosa aliyoshitakiwa nayo kwa hivyo mahakama ya juu kumuachia kwa kasoro ya kujazwa fomu ya mashitaka inaonyesha uzembe au kukosa uwajibikaji kwa jaji. ingekua sahihi jaji kuelekeza mashtaka yafunguliwe upya kuliko kumuachia mhalifu. wapo wanasheria kama lisu nihodari wa kuwatoa wahalifu lupango kwa makosa ya kiufundi (technical faults). wanaweza kumtoa mhalifu gerezani kwa kosa la kiufundi lisilo na uzito ukichukulia wanasheria wengi kua na kawaida ya kuuza haki. ukizingatia hayo utaona idadi ya wahalifu kuachiwa kwa sababu za kiufundi huku tayari wakiwa wameonekana na makosa yaweza kuongeza huko tunakoelekea.
Kwa wapenda haki mbunge Lijuakali bado ni muhalifu kwa sababu rufani yaka haikumuona hana kosa aliloshitakiwa nalo.
Ni pale tundu lisu anahojiwa na DW anapojibu mahakama haijamkuta na kosa ,halafu asema wakili wa serikali kama atafungua mashita .
Kwa nini asiseme wakili wa ccm inamaana alienda kumtea wanini kama serikali ilimtia hatiani abadilishe usemi huu aseme wakili wa ccm sio serkali.
 
tahadhali leo ni siku ya wajinga hivyo si lazima kujadli kila mada huenda mtoa post ni mwanachama
 
Mkuu sheria ni taaluma kama hauijui kaa kimya!!wewe hiyo hati ya mashitaka,unajua inavyoandikwa!?we unadhani ni mtu anajiamri tu kuandika kuandika kama unavyoandika kwenye kitabu cha guest ukienda kuzini!?
Kwa taarifa yako fupi tu,ukikosea hati ya mashitaka,huwezi kuita hiyo ni technical default,sheria inaelekeza Namna ya kuandika hati ya mashtaka,kwa maana hiyo ukiikosea unakua umeenda nje ya matakwa ya sheria..
 
Wazee wa JF . . , msikubali kuingizwa ktk mijadala ya kitoto toto ya akina low IQ . . kimbwembe na Yehodaya . .

Hao ni kula kulala wa CCM . .
 
Hahahah leo siku ya wajinga duniani hunipati ng'o hunidanganyi....!!!
 
Kwa wapenda haki kuachiwa mbunge lijuakali na jaji munisi kwa msingi eti hati ya mashitaka ilikosewa kujazwa ni kutoitendea fani ya sheria haki. lijuakali alikutwa na makosa (was found guilty) kwa makosa aliyoshitakiwa nayo kwa hivyo mahakama ya juu kumuachia kwa kasoro ya kujazwa fomu ya mashitaka inaonyesha uzembe au kukosa uwajibikaji kwa jaji. ingekua sahihi jaji kuelekeza mashtaka yafunguliwe upya kuliko kumuachia mhalifu. wapo wanasheria kama lisu nihodari wa kuwatoa wahalifu lupango kwa makosa ya kiufundi (technical faults). wanaweza kumtoa mhalifu gerezani kwa kosa la kiufundi lisilo na uzito ukichukulia wanasheria wengi kua na kawaida ya kuuza haki. ukizingatia hayo utaona idadi ya wahalifu kuachiwa kwa sababu za kiufundi huku tayari wakiwa wameonekana na makosa yaweza kuongeza huko tunakoelekea.
Kwa wapenda haki mbunge Lijuakali bado ni muhalifu kwa sababu rufani yaka haikumuona hana kosa aliloshitakiwa nalo.
Kwa nini usimfungulie kesi DAB kwa kufoji vyeti na kutumia jina ambalo si lake la Paul Christian Makonda ili haki itendeke. Mimi si mwanachama wa Chadema.
 
Kwa wapenda haki kuachiwa mbunge lijuakali na jaji munisi kwa msingi eti hati ya mashitaka ilikosewa kujazwa ni kutoitendea fani ya sheria haki. lijuakali alikutwa na makosa (was found guilty) kwa makosa aliyoshitakiwa nayo kwa hivyo mahakama ya juu kumuachia kwa kasoro ya kujazwa fomu ya mashitaka inaonyesha uzembe au kukosa uwajibikaji kwa jaji. ingekua sahihi jaji kuelekeza mashtaka yafunguliwe upya kuliko kumuachia mhalifu. wapo wanasheria kama lisu nihodari wa kuwatoa wahalifu lupango kwa makosa ya kiufundi (technical faults). wanaweza kumtoa mhalifu gerezani kwa kosa la kiufundi lisilo na uzito ukichukulia wanasheria wengi kua na kawaida ya kuuza haki. ukizingatia hayo utaona idadi ya wahalifu kuachiwa kwa sababu za kiufundi huku tayari wakiwa wameonekana na makosa yaweza kuongeza huko tunakoelekea.
Kwa wapenda haki mbunge Lijuakali bado ni muhalifu kwa sababu rufani yaka haikumuona hana kosa aliloshitakiwa nalo.
Kama unazijua sheria kata rufaa. Ukione cha moto hapo kesi imeisha acha kutoa povu.
 
Umeanza vizuri lakin umevurunda.... kama hukubaliani na maamuz ya mahakamani.. kaweke pingamizi... kulalamika jf hakuto saidia kitu
 
Kwa wapenda haki kuachiwa mbunge lijuakali na jaji munisi kwa msingi eti hati ya mashitaka ilikosewa kujazwa ni kutoitendea fani ya sheria haki. lijuakali alikutwa na makosa (was found guilty) kwa makosa aliyoshitakiwa nayo kwa hivyomahakama ya juu kumuachia kwa kasoro ya kujazwa fomu ya mashitaka inaonyesha uzembe au kukosa uwajibikaji kwa jaji. ingekua sahihi jaji kuelekeza mashtaka yafunguliwe upya kuliko kumuachia mhalifu. wapo wanasheria kama lisu nihodari wa kuwatoa wahalifu lupango kwa makosa ya kiufundi. ukichukulia wanasheria wengi kua na kawaida ya kuuza haki idadi ya wahalifu kuachiwa kwa sababu za kiufundi huku tayari wakiwa wameonekana na makosa yaweza kuongeza huko tunakoelekea.
Kwa wapenda haki mbunge Lijuakali bado ni muhalifu kwa sababu rufani yaka haikumuona hana kosa aliloshitakiwa nalo.
 
Kuna kitu kinasema "mahakama imejiridhisha pasipo shaka" kama unaelewa maana ya huo usemi usibgeleta mada yako ya kiapril mosi aka kibashite
 
Leo ni siku ya mazuzu dunian kwa hiyo naona umeamua kuuweka ujinga wako adharani .
 
Layman bhana..kasome standard of proof in criminal matters utakuta prove beyond reasonable doubt..tafakar kisha uje ufute huu ubashite wako huku ukiendelea kusherekea siku yenu maalum'fools day'
 
toa ujinga wewe. ukiona mtu anatuka kwenye mitandao ujue upstairs yake iko ovyo.
Kama huyu jamaa hapa
9239e49f1939e26c69104f3a6ac3b497.jpg
 
Kwa wapenda haki kuachiwa mbunge lijuakali na jaji munisi kwa msingi eti hati ya mashitaka ilikosewa kujazwa ni kutoitendea fani ya sheria haki. lijuakali alikutwa na makosa (was found guilty) kwa makosa aliyoshitakiwa nayo kwa hivyo mahakama ya juu kumuachia kwa kasoro ya kujazwa fomu ya mashitaka inaonyesha uzembe au kukosa uwajibikaji kwa jaji. ingekua sahihi jaji kuelekeza mashtaka yafunguliwe upya kuliko kumuachia mhalifu. wapo wanasheria kama lisu nihodari wa kuwatoa wahalifu lupango kwa makosa ya kiufundi (technical faults). wanaweza kumtoa mhalifu gerezani kwa kosa la kiufundi lisilo na uzito ukichukulia wanasheria wengi kua na kawaida ya kuuza haki. ukizingatia hayo utaona idadi ya wahalifu kuachiwa kwa sababu za kiufundi huku tayari wakiwa wameonekana na makosa yaweza kuongeza huko tunakoelekea.
Kwa wapenda haki mbunge Lijuakali bado ni muhalifu kwa sababu rufani yaka haikumuona hana kosa aliloshitakiwa nalo.
Mhalifu ni Daud Albert Bashite na yuko huru tena akilipwa kwa kodi zetu! Huyo ndio anatakiwa kua ukonga
 
ulie ugalegale mh Lijualikali ndiye mbunge halali kwa tiketi ya CHADEMA.
 
Back
Top Bottom